Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya Damu Arusha yakauka

HOSPITALI ya mkoa wa Arusha, Mount Meru, inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu salama kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wajitolea Damu kuadhimisha siku ya Damu Duniani

01

Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Agnes Mushi akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani inayotarajiwa kuadhimishwa kesho. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa ni Mtaalamu wa kutoa damu kutoka kitengo cha Damu Salama, Judith Goshashy.

02

Wafanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Marcy  Mwakajwanga na Kassim Kanyamara (kulia) wakijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI JUNI 14, 2014

 Mtaalam wa kutoa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Peter Chami (kushoto) akimtoa damu Meneja Mwandamizi Tawi la Samora la Benki ya Exim Nancy Huggins, ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu Duniani inayofanyika kila mwaka ifikapo Juni 14  Mtaalam wa kutoa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Peter Chami (kushoto) akimtoa damu Afisa wa Benki ya Exim Daniel Lukuba, ikiwa ni maadhimisho ya Siku...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA KUCHANGIA DAMU DUNIANI. DAR ES SALAAM: JUNE 14, 2015

 Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania  Bi. Ilakiza Hezwa (kulia) akichangia damu sambamba na wafanyakazi wenzie waliojitokeza makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani .Kushoto ni Ofisa wa Mpango wa taifa wa damu salama (NBTS) Bw. Peter Chami. Mkuu wa kitengo Uendeshaji na teknolojia Bw. Hamza Mohamed (kulia) akipima shinikizo la damu kabla ya kuungana na wafanyakazi wenzie wa benki hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wachangia benki ya damu

UONGOZI mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Tabora umetembelea Benki ya Damu na kuchangia huduma hiyo kwa wahitaji. Akizungumza baada ya kuchangia damu, Mwenyekiti wa CHADEMA...

 

10 years ago

Mwananchi

Uhaba vifaatiba waitikisa benki ya damu Tanzania

 Uhaba wa dawa na vifaatiba umeitikisa ‘Benki ya Damu Tanzania’, kwani haina vitendanishi (reagents) vya kutosha kwa ajili ya kupima usalama wa damu inayokusanywa kutoka wachangiaji mbalimbali na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS).

 

10 years ago

Mtanzania

Benki ya Exim yaaadhimisha siku ya damu duniani

Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
WAFANYAKAZI wa Benki ya Exim Tanzania, wameadhimisha siku ya kuchangia damu duniani.
Kutokana na uzito wa siku hiyo, mwishoni mwa wiki walijitokeza makao makuu ya benki ya damu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku hiyo, kama njia ya kutambua umuhimu wa hitaji hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati zoezi hilo likiendelea, Mkuu wa Kitengo cha rasilimali watu wa benki hiyo, Frederick Kanga, alisema hatua hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

Dk.Shein atembelea Benki ya Damu Salama Zanzibar leo

 Mkuu wa maabara ya kuchunguza maradhi mbali mbali Msafiri L.Marijani  akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea Maabara katika Hospitali ya Mnazi mmoja leo Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Kituo cha Damu Salama kiliopo Sebleni Nyumba za Wazee Mjini Zanzibar leo alipofanya ziara fupi kituoni hapo Afisa...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJITOLEA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Rukia Mtingwa (kushoto) akiwaongoza baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo katika tukio la kujitolea damu lililoandaliwa na benki hiyo kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam jana.Meneja Mahusiano ya Kibiashara wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Lukemelelo Kaduma (katikati) akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya wafanyakazi wa NBC kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam mwishoni jana....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabwawa ya SENAPA yakauka

WAFUGAJI wa mifugo wa vijiji vya Mangucha, Kegonga, Masanga na Gibaso, kata za Nyarukoba, Gorong’a na Nyanungu wamelazimika kuingiza mifugo yao katika Bonde la Nyanungu lililomo ndani ya Hifadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani