Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya Exim yaingiza dhamana ya muda mrefu sokoni

 Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim, Selemani Ponda (katikati) akiongea na waandishi wa habari kutangaza uuzaji wa dhamana ya kwanza ya muda mrefu nchini Tanzania yenye kuwezesha ushiriki wa wawekezaji wadogo ili kupata kiasi cha shilingi bilioni 15. Ameambatana na Meneja Benki ya Exim (uwekezaji), George Assenga (kulia), Meneja Miradi na Biashara wa Soko la Hisa la Dar es Salaam, Patrick Mususa (wa pili kulia),  Mkurugenzi Mkuu wa Core Securities, George Fumbuka (wa pili kushoto) ambao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yafunga mauzo ya dhamana yake kwa mafanikio makubwa.

Benki ya Exim Tanzania imetangaza kufunga mauzo ya dhamana yake ya muda mrefu (hati fungani) huku ikibainisha kuwa kiasi kilichopatikana kutokana na mauzo ya hati hizo kimezidi mara dufu (asilimia 195) ya malengo ya awali.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana, uuzwaji wa dhamana hizo ulifungwa rasmi Disemba 18 mwaka huu huku benki hiyo ikifanikiwa kukusanya kiasi cha sh bilioni 19.7 kutokana na mauzo ya dhamana hiyo tofauti na makadilio ya sh. bilioni 10...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yaingiza sokoni nyumba 130

NYUMBA 130 kati ya 851 zilizojengwa Dar es Salaam eneo la Bunju A katika mradi maalum wa ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma, zimefikia hatua ya kukamilishwa.

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim Bank Mastercard'

 Benki ya Exim Tanzania hii leo imetangaza washindi watano wa mwezi katika kampeni yake ya 'Chanja Kijanja na Exim Mastercard'. Kampeni hiyo inalenga kuhamasisha wateja wa benki ya Exim kutumia kadi zao za Mastercard katika manunuzi ya mtandaoni au kufanya malipo kupitia mashine za malipo (POS) katika maduka mbalimbali na maeneo mengine nchini.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwatangaza washindi wa droo ya kwanza  wa kampeni hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yaingiza smartphone mpya sokoni ikiwa na ofa kabambe

Meneja Masoko wa Airtel Bi Prisca Tembo na Meneja Biashara wa Techno bw, Marco Wang wakionyesha simu mpya ya TechoH5 iliyoingizwa sokoni ikiwa na ofa kabambe itakawawezesha wateja wa Airtel kupata simu ya kisasa pamoja na vifurushi vya internet ya kudumu kwa muda wa mienzi mitatu kuanzia leo. Afisa Mauzo wa airtel Nizar Aladawy na Afisa Mauzo wa Techno bi, Lolinda Joshman wakionyesha simu mpya ya TechoH5 iliyoingizwa sokoni ikiwa na ofa kabambe itakawawezesha wateja wa Airtel kupata simu ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kunyonyesha muda mrefu ni faida?

Utafiti uliofanyika nchini Brazil umebaini kuwa watoto wanaonyonya kwa muda mrefu wanakuwa na akili zaidi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Je,simu zinazojikunja zinadumu muda mrefu?

Simu zinazoweza kujikunja kwa mara nyingine tena zinakosolewa iwapo zinaweza kudumu kwa mda mrefu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mahakama kumaliza mashauri ya muda mrefu

MAHAKAMA ya Tanzania iko katika mchakato maalumu wa kumaliza mashauri yote ya muda mrefu Kanda ya Dar es Salaam na Tabora. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mwananchi

Hatma ya majaji escrow kuchukua muda mrefu

>Jaji Mkuu Mohamed Chande amesema hatma ya majaji wawili waliotajwa kupokea fedha zinazohusishwa na sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow, itachukua muda mrefu kwa kuwa uchunguzi huhitaji muda mrefu kukamilika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani