Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BETHIDEI YA MTOTO, MKE WA MTITU, DUDE AMKTISHA MAUNO MKEWE

Stori: Imelda Mtema Kazi ipo! Taarifa ikufikie kwamba kutoka kwenye bonge la pati la bethidei ya mtoto na mke wa mwigizaji, William Mtitu, staa wa Bongo Dar es Salaam, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amejikuta akimkatisha mauno mkewe, Eva hadharani kitendo kilichozua minong’ono mingi baada ya mwanamama huyo kufanya kweli hadi jamaa akamwambia yatosha. Mke wa mwigizaji, William Mtitu, Yovitha akiwa na mwanaye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MATUKIO YA BETHDEI YA MKE NA MTOTO WA MTITU

Keki yenye picha ya mke na mtoto wa Mtitu. Mtitu, mwanaye na mke wake wakiimba wimbo wa ‘Hapi Bethidei.’…

 

10 years ago

Bongo Movies

Dude, Mtitu Nitakufa kwa Mipango ya Mungu-Steve Nyerere

Naomba kumshukulu mungu kwa kila jambo yehova wewe ndio kimbilio langu. Pili kwa masikitiko makubwa nasema watashindana ila awata shinda .niongee kidogo kwa kifupi mara kwa mara nimekuwa nazalilishwa na najiuliza tatizo nini nagundua nyota .

Maishani kila binadamu mungu kampa fulsa yake so ukubali ukatae ndio hivo. Nilipigiwa simu na Mrs Adam kuambiana yani mke wa marehemu kama rafiki ndugu na msanii mwenzake kuwa anajenga kaburi la marehemu Kuambiana.

Nikajiuliza, kwa nini ajenge yeye...

 

11 years ago

GPL

MTITU AGOMA KUMCHEZESHA MKEWE MUVI

BOSI wa Kampuni ya Five Effects, William Mtitu amefunguka kuwa kamwe hatamchezesha mkewe muvi kwa madai kuwa anaogopa vishawishi vya kusalitiwa. Bosi wa Kampuni ya Five Effects, William Mtitu akiwa na mkewe. Akipiga stori na mwandishi wetu, Mtitu alisema kuwa anakubali kuwa mkewe ni mrembo na anaweza kucheza filamu lakini kutokana na uzoefu wake kwenye tasnia ya filamu, anatambua vishawishi vinavyochochea michepuko ni vingi....

 

10 years ago

GPL

MKESHA WA KRISMASI, MKE WA MTITU AFANYA KIBAO KATA!

Mkurugenzi wa Kampuni ya 5Effects, William Mtitu akiwa na mkewe Yovitha Mtitu . Stori: Waandishi wetu Mke wa Mkurugenzi wa Kampuni ya 5Effects, William Mtitu, Yovitha Mtitu, wikiendi iliyopita kwenye Mkesha wa Krismasi alifanya kibao kata nyumbani kwake ambapo alialika kikundi cha ngoma ya Baikoko na kukesha wakikata mauno na mastaa kibao wa Bongo. Sherehe hiyo iliibua minong’ono kwani baadhi ya waalikwa walikuwa wakihoji...

 

10 years ago

GPL

MKE WA DUDE AENDA KWAO

Brighton Masalu Madai mazito! Mke wa staa wa maigizo Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ anayefahamika zaidi kwa jina la Eva wa Dude anadaiwa kwenda kwao kufuatia kuwepo kwa skendo ya kimapenzi ya mumewe akihusishwa na penzi la mwigizaji mwenzake, Ester Kiama. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1DmgKs7

 

9 years ago

GPL

ESTER, MKE WA DUDE WAPATANISHWA

Imelda Mtema Bifu kwishnei! Wasanii wa filamu Bongo, Eva Dude na Ester Kihama, mapema wiki hii walikutana uso kwa uso katika Hoteli ya Double Tree iliyopo Masaki jijini Dar ambapo mmoja wa watu wao wa karibu aliwakutanisha ili kuwapatanisha.  ....soma zidi===> http://bit.ly/1E7TU82

 

10 years ago

GPL

MTOTO AFANYIWA BETHIDEI, AFARIKI DUNIA

Dustan Shekidele, Moro Inauma sana! Mtoto mzuri wa kiume aitwaye Jumanne Mwinyimbegu, mwenye umri wa mwaka mmoja amefariki dunia ghafla muda mfupi baada ya kufanyiwa sherehe ya kutimiza mwaka mmoja ‘bethidei’. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri nyumbani kwa wazazi wa Jumanne Mtaa wa Saadan Kata ya Mwembesongo mkoani hapa mwishoni mwa wiki iliyopita na kuibua simanzi nzito kwa kuwa alikuwa haumwi na ilikuwa muda...

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YA MTOTO WA DAVINA NISHA ATIA AIBU

Gladness Mallya na Imelda Mtema
POMBE si chai! Msemo huu ulitimia hivi karibuni baada ya staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ kuzidiwa na kilevi na kuanza kushindana kukata mauno na kusababisha azingirwe na wanaume waliovutiwa naye. Staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ akikata mauno. Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumatano iliyopita katika sherehe ya bethidei ya mtoto wa msanii...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: ‘Bethidei Pati’ ya Mtoto wa Odama Kama Harusi!

Staa mrembo wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefanya kufuru ya aina yake baada ya kumwandalia mwanaye, Janson bonge la sherehe ya kuzaliwa (bethidei), aliyekuwa akitimiza mwaka mmoja iliyokuwa kama harusi.

Pati hiyo iliyohudhuriwa na mastaa kibwena Bongo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Beach, Kinondoni jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo shughuli nzima ilikuwa imeandaliwa kama harusi ambapo kwa mujibu wa waandaaji iliteketeza mamilioni ya shilingi yanayodaiwa kumwagwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani