Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BIEBER KULIPA FAINI YA DOLA 80,900 KWA KUMRUSHIA MAYAI JIRANI YAKE

STAA wa muziki wa Pop, Justin Bieber atalipa faini ya dola 80,900, kuhudhuria kozi ya wiki 12 kudhibiti hasira zake na siku tano za kushiriki kazi za kijamii kwa kosa la kumrushia mayai jirani yake. Staa huyo pia atatakiwa kukaa umbali wa yadi 100 kutoka kwa familia hiyo huku akiwa chini ya uangalizi kwa muda wa miaka miwili. Bieber alinaswa na jirani yake akirusha mayai katika nyumba yake mwezi Januari na hukumu yake imetoewa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA KAMPUNI INAYOJENGA RELI YA KISASA YAPI MARKEZ, AHUKUMIWA KULIPA FAINI YA DOLA MILIONI 100 AMA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JERA


MKURUGENZI wa Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Markez inayojenga Reli ya kisasa Standard Gauge, Yetkin Genc Mehmet ((54) akitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu baada ya kuhukumiwa kulipa faini ya dola milioni 100 ama kifungo cha miaka mitatu jera
MKURUGENZI wa Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Markez inayojenga Reli ya kisasa Standard Gauge, Yetkin Genc Mehmet ((54) raia wa Uturuki amehukumiwa kulipa faini ya USD milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu gerezani baada ya kukiri...

 

10 years ago

Mwananchi

Kulipa faini kwa mtandao kutapunguza rushwa, kero

Rais Jakaya Kikwete, ameliagiza Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kuanzisha mfumo wa ulipaji faini za makosa ya madereva kwa njia ya benki na mitandao ya simu za mkononi, ili kupunguza ushawishi wa rushwa kwa askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani.

 

10 years ago

GPL

AKUTWA AKICHIMBIA MAYAI KWA DADA YAKE

Dustan Shekidele, Morogoro
KATIKA hali ya kushangaza mwanamke mmoja, Pili  Danji Mlapakalo amedaiwa kukutwa akifukia mayai viza kwenye dirisha la dada yake Hanifa Danji Mlapakalo kwenye nyumba wanayoishi iliyopo Mtaa wa Kisogo, Kata ya Kiwanja cha Ndege mkoani hapa. Pili  Danji Mlapakalo anayedaiwa kufukia mayai viza. Tukio hilo lilitokea Juni 15, mwaka huu saa 11 alfajiri na kusababisha vurugu kubwa kati ya Hanifa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amuua jirani yake kwa rungu, panga

VILIO na simanzi vilitawala katika Kijiji cha Kikavu Chini, Kata ya Machame Kusini wilayani Hai, baada ya Alex Peter kudaiwa kumshambulia jirani yake aliyefahamika kwa jina la Pili Mnyamvua (65)...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbaroni kwa kumbaka mtoto wa jirani yake

Mtoto wa miaka (5) mkazi wa Kijiji cha Kabuhima Kata ya Uyovu Wilaya ya Bukombe mkoani Geita amefanyiwa ukatili wa kinyama baada ya kubakwa na jirani yao.

 

10 years ago

GPL

CHID BENZ ALIPA FAINI 900,000/=, AACHIWA HURU NA MAHAKAMA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imemwachia mwanamuziki Rashid Makwilo 'Chid Benz' baada ya kulipa faini ya sh. 900,000 kufuatia kukamatwa akiwa na madawa ya kulevya. Chid Benz alikamatwa mwaka jana katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na madawa ya kulevya, ikiwemo misokoto ya bangi. Mwanamuziki huyo ambaye alikiri kosa hilo wiki iliyopita, alikamatwa uwanjani hapo akiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kulipa faini kisasa mbioni kuanza

Mpango wa kulipia faini za makosa ya barabarani kwa kutumia mitandao ya simu na benki nchini upo katika hatua za mwisho na wakati wowote kuanzia sasa utaanza kutekelezwa lengo likiwa kudhibiti vitendo vya rushwa miongoni mwa askari wa kikosi hicho.

 

10 years ago

GPL

MJUKUU WA MANDELA KUFUNGWA, AU KULIPA FAINI

Mandla Mandela, mjukuu wa kwanza wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela. Mandla akiwa na babu yake Mzee Nelson Mandela. MANDLA MANDELA, mjukuu wa kwanza wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amehukumiwa kwenda jela au kulipa faini ya kwa kumshambulia na kumtishia kwa bastola mwalimu wa shule moja mwaka 2013. Mandla, ambaye ni mbunge wa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani