Bilal asifia Tamwa
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal alisema serikali itaendelea kuthamini mchango wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) katika kufikia malengo ya kupunguza umasikini mchini (MKUKUTA) na (MKUZA) na kuleta usawa wa kijinsia katika jamii mbalimbali nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Daily News20 Apr
TAMWA hails Bilal over financial support
TAMWA hails Bilal over financial support
Daily News
TANZANIA Media Women's Association (TAMWA) has applauded Vice-President Dr Mohamed Bilal for his 10m/- contribution during a fundraising event and for offering to sponsor two children whose parents are not able to pay school fees. According to a ...
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Mkwasa asifia kiwango Stars
KOCHA wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Boniface Mkwasa ameelezea kufurahishwa na matokeo waliopata juzi katika mchezo wa kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) dhidi ya Nigeria katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Timu hizo zilitoka sare ya 0-0. Stars wapo nafasi ya tatu katika kundi D baada kupata pointi moja katika michezo miwili waliocheza. Awali walicheza na Misri na kufungwa mabao 3-0 ugenini.
Mkwassa alisema amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na kikosi...
10 years ago
Habarileo07 Aug
Kocha wa Simba asifia KMKM
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba Dylan Kerr ameimwagia sifa klabu ya KMKM kutokana na kiwango cha wachezaji wake walichokionesha katika mchezo wa kirafiki kati yao uliochezwa juzi. Katika mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Amani Simba ilishinda mabao 3-2.
10 years ago
Habarileo10 Aug
Magufuli asifia uongozi wa Rais Kikwete
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, amekiongoza chama hicho kwa misingi imara iliyodumisha umoja na mshikamano. Amesema iwapo Watanzania watamchagua kuwa rais, atasimamia ilani ya uchaguzi ijayo na kwamba hatawaangusha.
9 years ago
Bongo506 Nov
Uhuru Kenyatta asifia demokrasia ya Tanzania
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameipongeza Tanzania kwa namna ilivyoonesha ukomavu katika demokrasia baada ya uchaguzi.
Kenya alikuwa mmoja wa viongozi wa Afrika waliohudhuria kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dokta John Magufuli.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Kenyatta ameandika:
I joined other Heads of State and Government for a state luncheon at State House gardens in Dar es Salaam following a colourful swearing-in ceremony of Dr. John Pombe Magufuli as the fifth...
10 years ago
GPLMUME ASIFIA PENZI LA MISS TANZANIA
9 years ago
BBCSwahili08 Sep
Rais Buhari asifia jeshi lake
11 years ago
Habarileo03 Jul
Kikwete asifia uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini
RAIS Jakaya Kikwete amesifia uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Afrika Kusini, akisema haujapata kuwa mzuri zaidi ya ulivyo sasa.
11 years ago
Mwananchi03 Jul
BRAZIL 2014: Kocha Marekani asifia uwezo wachezaji wake