Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BILIONEA LAKE...

Stori: MAKONGORO OGING’ NA HARUN SANCHAWA Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni bilionea Ally Edha Awadhi ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Lake Oil ya Mikocheni jijini Dar es Salaam kutokana na madai ya kumtesa mfanyakazi wake. Mfanyakazi aliyeteswa. Akizungumza na waandishi wa habari hii ofisini kwake wiki iliyopita, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalum ya Dar, ACP Jafari Mohamed...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BILIONEA LAKE OIL ATOWEKA

Stori: Makongoro Oging’
BILIONEA mmiliki wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil, Ally Edha Awadhi anayetafutwa na polisi kwa kosa la kumnyanyapaa, kumdhulumu, kumtesa na kumjeruhi mfanyakazi wake, ametoweka na huenda akawa amekimbilia nje ya nchi, Uwazi limenasa mkanda mzima. Mfanyakazi wa bilionea anayemiliki kampuni ya mafuta ya Lake Oil. Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini, (DCI) Kamishna Isaya Mngulu...

 

10 years ago

GPL

BILIONEA LAKE OIL AJISALIMISHA POLISI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ BILIONEA mmiliki wa kampuni ya usafirishaji na usambazaji wa mafuta Lake Oil, Ally Edna Awadh, aliyekuwa akitafutwa na Polisi kwa kosa la kushambulia na kujeruhi, hatimaye amejitokeza na kujisalimisha ofisi ya upelelezi Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam. Aliyekuwa mfanyakazi wa Bilionea Lake Oil, Ally Edna Awadh aliyejeruhiwa na boss wake. Chanzo chetu cha kuaminika...

 

10 years ago

TheCitizen

LAKE ZONE: Fresh killings rock Lake Zone towards Christmas

>Brutal killings of elderly people have been reported in the Lake Zone ahead of the festive season, The Citizen has learnt.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bilionea atunza watoto TZ

Kituo cha watoto mayatima mjini Arusha kina kila sababu ya kumshukuru billionea wa umri mdogo Zaidi nchini Tanzania, Patrick Ngowi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bilionea alivyopanga mauaji

MFANYABIASHARA bilionea anayemiliki vitalu vya kuchimba madini ya tanzanite huko Mirerani mkoani Manyara, Joseph Damas, maarufu kwa jina la ‘Chusa’, ndiye anayedaiwa kupanga mauaji ya bilionea mwenzake wa madini, Erasto...

 

5 years ago

Mwananchi

Mwili wa bilionea Mrema wawasili

Vilio na majonzi vimetawala jana wakati mwili wa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu, Maleu Mrema ulipowasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) ukitokea nchini Afrika Kusini.

 

11 years ago

GPL

WASTARA: NATAKA KUOLEWA NA BILIONEA

Stori:  Na Imelda Mtema
IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti la kwanza la muoaji lazima awe mtu mwenye fedha zake. Wastara Juma. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Wastara alisema, amekuwa mpweke kwa muda mrefu na sasa ni wakati...

 

11 years ago

BBCSwahili

Bilionea ashinda uchaguzi wa Ukraine

Matokeo ya kura yaliotangazwa nchini Ukraine yanaonyesha kuwa tajiri Petro Porishenko ameshinda awamu ya kwanza ya uchaguzi wa urais.

 

10 years ago

GPL

BILIONEA WA UNGA ATIKISA DAR

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
HII kali! Kukamatwa na polisi kwa mfanyabiashara bilionea jijini Dar, Mharami Mohamed Abadallah ‘Chonji’ (44) (aliyezungushiwa duara) hivi karibuni akidaiwa kukutwa na madawa ya kulevya ‘unga’ aina ya heroin yenye thamani ya shilingi 300,000,000 kumelitikisa Jiji la Dar, Uwazi limefuatalia hatua kwa hatua. Mfanyabiashara bilionea jijini Dar, Mharami...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani