WASTARA: NATAKA KUOLEWA NA BILIONEA
![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD-*gLHuflH*KZtyzkIgvgEn0-0p0Iu0Z9SyQS9SOdeI8zqYBGVD28GBO2TICCd3T-8IXsT*WMg0z5QsmC5lt7ER1/wastara.jpg?width=650)
Stori: Na Imelda Mtema IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti la kwanza la muoaji lazima awe mtu mwenye fedha zake. Wastara Juma. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Wastara alisema, amekuwa mpweke kwa muda mrefu na sasa ni wakati...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 Feb
Wema: Kwasasa Nimepoa, Nataka Kuolewa!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kusema kwasasa amepoa na kunavitu vingi anataka kuvifanya ikiwemo kutaka kuolewa.
Mwnadada Wema aliyasema hayo kwenye kipande kidogo cha video ambacho kinasambaa mtandaoni, kikiwaonyesha Wema na meneja wake Martin Kadinda, ambapo Kadinda anamuuliza Wema kwanini siku hizi amepoa sana, na ndipo Wema akamjibu kwa kuwa anavitu vingi anataka kufanya na sasa hivi kwani anataka kuwa mke wa mtu. Ipo hivi;
Kadinda alimuuliza Wema, “mbona...
10 years ago
CloudsFM09 Apr
Makala: Jackline Ntuyabaliwe, Miss Tanzania wa kwanza kuolewa na bilionea
Jacqueline Ntuyabaliwe maarufu kama K- Lynn alizaliwa katika Desemba 6, 1978, ni mtoto wa mwisho kuzaliwa ya watoto watatu. Alianza muziki mwaka 1997 akiwa na bendi ya Tanzania Tanzanites. Mwaka 2000 alishinda taji la Miss Tanzania na kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya Miss World. Mwaka 2004 alitoa albamu yake ya kwanza kama ‘solo artist’ iitwayo ‘Nalia kwa Furaha’.
10 years ago
Bongo Movies19 May
Wastara Amuanika Mbaya Wake, Kisa ni Kuolewa na Marehemu Sajuki
Baada ya kipindi kirefu cha tetesi ya staa wa filamu Wastara kuhofia maisha yake, akihisi upo mpango wa kumuangamiza kwa njia mbalimbali ikiwepo ajali, staa huyo amesema tetesi hizo ni kweli na amekwishazitolea ripoti polisi.
Msanii huyo amekiri kupitia eNewz kuwa, ni kweli yupo katika tishio la maisha yake, mhusika mkubwa wa hilo akiwa mwanaume ambaye alikuwa na mahusiano yake wa zamani ambaye hawana maelewano mazuri naye.Wastara amesema kuwa, amekuwa na historia ya mahusiano mabovu na mtu...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-yF_1IfhyzA4/VZTUbeQQEnI/AAAAAAAAw5g/5tNWcHk7Cw8/s72-c/wastaranabond.jpg)
Wastara: Nimeamua Kumpa Bond Nafasi ya Kunioa, Mimi Bado Damu Changa Nikisema Siwezi Kuolewa Tena Najidanganya..Nimempa Bond Sharti Hili...
![](http://4.bp.blogspot.com/-yF_1IfhyzA4/VZTUbeQQEnI/AAAAAAAAw5g/5tNWcHk7Cw8/s640/wastaranabond.jpg)
Wastara na Bond MapenziniBrighton Masalu
WASTARA Juma Issa Abeid amekiri kuzidiwa na hisia za kuwa na mwenza kutokana na ukweli kwamba damu yake bado changa, hivyo suala la kuolewa halikwepeki huku akimpa nafasi kubwa msanii mwenzake, Bond Bin Sinan endapo atakidhi vigezo na masharti.Akifungulia ‘koki’ ya maneno mbele ya paparazi wetu kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, Wastara ambaye kwa sasa yuko bize kusaka ubunge nyumbani kwao Morogoro Vijijini, alisema hawezi kudanganya kwamba...
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Nataka kulewa
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Nataka kulewa 2
11 years ago
Habarileo15 Mar
Sitta: Nataka nidhamu bungeni
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza kazi na kuwaonya wajumbe wa bunge hilo ambao wamekuwa na tabia ya kupayuka ovyo kwenye vipaza sauti, kuwa wasimlaumu kwa vile atawabana kwa kutumia kanuni walizozitunga wao wenyewe.
11 years ago
Habarileo26 Feb
Shibuda -Nataka serikali mbili
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, John Shibuda amesema msimamo wake ni kuwapo kwa Serikali mbili, huku akisisitiza kuwa ilipaswa wajumbe wa bunge hilo wapewe elimu ya ufahamu ya kazi yao.
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
MKALI: Nataka kucheza kimataifa
WAHENGA hunena kwamba mbuyu ulianza kama mchicha. Hiki ndicho ninachotaka kukieleza katika makala hii kwa mwanasoka chipukizi mwenye matarajio ya kufika mbali, George Mkali. Akiwa ni mwanasoka chipukizi na anayeonyesha...