Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema: Kwasasa Nimepoa, Nataka Kuolewa!!

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kusema kwasasa amepoa na kunavitu vingi anataka kuvifanya ikiwemo kutaka kuolewa.

Mwnadada Wema aliyasema hayo kwenye kipande kidogo cha video ambacho kinasambaa mtandaoni, kikiwaonyesha Wema na meneja wake Martin Kadinda, ambapo Kadinda anamuuliza Wema kwanini siku hizi amepoa sana, na ndipo Wema akamjibu kwa kuwa anavitu vingi anataka kufanya na sasa hivi kwani anataka kuwa mke wa mtu. Ipo hivi;

Kadinda alimuuliza  Wema, “mbona...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WASTARA: NATAKA KUOLEWA NA BILIONEA

Stori:  Na Imelda Mtema
IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti la kwanza la muoaji lazima awe mtu mwenye fedha zake. Wastara Juma. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Wastara alisema, amekuwa mpweke kwa muda mrefu na sasa ni wakati...

 

10 years ago

Bongo Movies

FINALLY! Wema Sepetu aamua 'kuolewa'. Aenda kumtambulisha mume nyumbani kwao.

Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.

Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema –...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….

Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.

“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.

Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...

 

9 years ago

Mwananchi

Nataka kulewa

Hii ni mara yangu ya kwanza kuingia baa na ninajikuta nikitumia zaidi ya sekunde sitini nikiangazaangaza ndani ya baa hiyo bila hata ya  kujua ni  sehemu gani nianzie. Baada ya kuhakikisha kuwa macho yangu yametazama kila kona  ya baa hiyo niliamua kukifuata kiti  kimoja kilichokuwa  wazi karibu na kaunta. Nilifika hapo na kukaa  huku pembezoni  mwangu kukiwa na mwanamume mwingine ambaye kidogo  alinishangaza kwani hakuwa akinywa kilevi na badala yake alikuwa akinywa...

 

9 years ago

Mwananchi

Nataka kulewa 2

Bila ya kupoteza muda nikaanza kumsimulia Bwana Edvin kisa kilichonikuta katika siku nzima ya leo hadi nikajikuta nikiishia baa. Naamini nimeshakusimulia na itakuwa ni upotezaji wa muda ikiwa nitaanza tena kukusimulia upya. Nilitumia kama dakika tano na tayari nimekwisha msimulia  Bwana Edvin kisa chote na nikaona uso wake ukiingiwa na hali fulani ya huruma juu yangu. “Pole sana Bwana Roma kwa yaliyokukuta”. Aliniambia Edvin. Yameshatokea na hata nikipewa pole na dunia nzima...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MKALI: Nataka kucheza kimataifa

WAHENGA hunena kwamba mbuyu ulianza kama mchicha. Hiki ndicho ninachotaka kukieleza katika makala hii kwa mwanasoka chipukizi mwenye matarajio ya kufika mbali, George Mkali. Akiwa ni mwanasoka chipukizi na anayeonyesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani