Mwili wa bilionea Mrema wawasili
Vilio na majonzi vimetawala jana wakati mwili wa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu, Maleu Mrema ulipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) ukitokea nchini Afrika Kusini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Mwili wa Dk Mgimwa wawasili nchini
>Vilio, simanzi na majonzi, vilitawala jana katika Uwanja za Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, wakati mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga (CCM), Dk William Mgimwa, aliyefariki dunia Afrika Kusini, ulipowasili nchini.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RqdQyZgpKtKjjEZwOmxIR5Cj9dCyG1FEcZzQwHpgFNq77VYKAPPSEzXeRkgIXW3xkmKjAUtOcc2Vyjh2umI5xcKWlH7Yxj1j/satahommage.jpg?width=650)
MWILI WA SATA WAWASILI ZAMBIA
Mwili wa Rais wa Zambia, Michael Sata umewasili leo kwa ndege ya kukodi kutoka London, marais wa zamani Keneth Kaunda, Rukia Banda wameongoza mapokezi, atazikwa Jumanne ya wiki ijayo.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/kombani1.jpg?width=650)
MWILI WA WAZIRI KOMBANI WAWASILI DAR
Aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya CCM na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Celina Kombani. Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Celina Kombani umewasili muda huu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam. Mwili...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-XTujEtfDBgU/VDk_7kC0hTI/AAAAAAAAX9c/BaMxBL00hY8/s72-c/shija1.jpg)
MWILI WA DR. WILLIAM SHIJA WAWASILI NCHINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-XTujEtfDBgU/VDk_7kC0hTI/AAAAAAAAX9c/BaMxBL00hY8/s1600/shija1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-f61GlxBfXZM/VDk_7STw3qI/AAAAAAAAX9Y/LDk3il2z1ME/s1600/shija.jpg)
Shija amewahi kuwa mbunge wa CCM wa jimbo la Sengerema toka mwaka 1990 hadi 2005. Alichaguliwa katika kikao cha 52 cha bunge hilo linalowakutanisha wawakilishi 700 kutoka mabunge ya nchi zilizo wanachama wa Jumuiya ya Madola.
Miongoni...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MWILI WA AMINA NGALUMA WAWASILI DAR
Amina Ngaluma 'Japanese' enzi za uhai wake. MWILI wa mwimbaji mahiri nchini aliyefariki dunia wiki iliyopita nchini Thailand, Amina Ngaluma ‘Japanese’ umewasili jijini Dar es Salaam usiku huu. Nyota huyo wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', mpaka mauti yanamfika alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Kwa mujibu wa mume wa marehemu, Rashid...
11 years ago
GPLMWILI WA MAREHEMU AMINA NGALUMA WAWASILI DAR
Mwili wa mwanamuziki Amina Ngaluma ukipokelewa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere ukitokea Thailand alipofia. Jeneza lenye mwili wa Amina Ngaluma likiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa kwa mumewe Kitunda.…
11 years ago
GPLMWILI WA GEORGE TYSON WAWASILI KAIRUKI, VILIO VYATAWALA
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa George Tyson kuupeleka mochwari. Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiingizwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Mikocheni jijini Dar.…
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Abdallah-Kigoda.jpg?width=650)
MWILI WA WAZIRI KIGODA WAWASILI DAR KUTOKA INDIA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda, enzi za uhai wake. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda akijumuika na Watanzania wengine kuupokea mwili wa marehemu Kigoda. Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli naye yupo kuungana na Watanzania wengine kuupokea mwili wa Kigoda. Ndugu, Jamaa na marafiki wakiusubiri kuupokea mwili… ...
11 years ago
Michuzi25 Feb
MWILI WA BALOZI KAZAURA WAWASILI DAR KUTOKA INDIA LEO
Waombolezaji wakisukuma jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), marehemu Balozi Fulgence Kazaura ulipowasili jana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jioni hii , kutoka India. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akwafariji ndugu wa marehemu
Ndugu wakifunua jeneza kuutengeneza mwili wa marehemu Kazaura.
Mwili ukipakiwa kwenye gari tayari kupelekwa kuhifadhiwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania