Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwili wa Dk Mgimwa wawasili nchini

>Vilio, simanzi na majonzi, vilitawala jana katika Uwanja za Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, wakati mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga (CCM), Dk William Mgimwa, aliyefariki dunia Afrika Kusini, ulipowasili nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWILI WA DR. WILLIAM SHIJA WAWASILI NCHINI

 Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Bunge la Jumuiya ya Madola (CPA), Dk William Ferdinand Shija umewasili nchini leo ikiwa ni siku saba tangu afikwe na umauti Oktoba 4, 2014. Shija aliyezaliwa Aprili 28, 1947 na kufariki Oktoba 4, 2014.Imeandikwa naFather Kidevu.

Shija amewahi kuwa mbunge wa CCM wa jimbo la Sengerema toka mwaka 1990 hadi 2005. Alichaguliwa katika kikao cha 52 cha bunge hilo linalowakutanisha wawakilishi 700 kutoka mabunge ya nchi zilizo wanachama wa Jumuiya ya Madola.

Miongoni...

 

10 years ago

Michuzi

Mwili wa marehemu Dkt William Shija wawasili nchini leo kutoka London, Uingereza

 Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Dkt William Shija aliyefariki dunia tarehe 4 Oktoba 2014 umewasili nchini leo. Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.  Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.Msalaba Sehemu ya waombolezaji. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Dewji Blog

UPDATES ya msiba wa Ndg Sebastina Mgimba: Mwili wa marehemu wawasili nchini leo, maziko kufanyika kesho katika makaburi ya Kinondoni

IMG_7879  Ndugu pamoja na jamaa wa marehemu Sebastian Mgimba aliyefariki dunia nchini Malaysia wakibeba jeneza lenye mwili wa Marehemu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam eneo la Mizigo ukitokea nchini Malaysia. Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Sebastian Mgimba aliyefariki nchini Malaysia likiingizwa katika gari maalumu la kubebea jeneza katika uwanja wa Ndege wa Dar Es Salaam katika eneo la kutolea na kusafirishia mizigo mara baada ya mwili huo kuwasilini Nchini Leo...

 

10 years ago

Vijimambo

UPDATES YA MSIBA WA NDG SEBASTINA MGIMBA : MWILI WA MAREHEMU SEBASTIAN MGIMBA WAWASILI NCHINI JANA, MAZIKO KUFANYIKA LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

Msiba wa Marehemu Sebastian Mgimba upo Sinza Kumekucha ambapo baada ya mwili kupokelewa jana uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam umepelekwa Kwake Sinza na Hatimaye leoo Kutakuwa na Misa ya kumuombea marehemu na hatimaye Mwili wa Marehemu kupumzishwa Katika Nyumba yake ya Milele Katika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar Es Salaam. Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi AminaBwana ametoa na Bwana Ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe Ndugu pamoja na jamaa wa marehemu Sebastian Mgimba...

 

10 years ago

GPL

MWILI WA SATA WAWASILI ZAMBIA

Mwili wa Rais wa Zambia, Michael Sata umewasili leo kwa ndege ya kukodi kutoka London, marais wa zamani Keneth Kaunda, Rukia Banda wameongoza mapokezi, atazikwa Jumanne ya wiki ijayo.

 

5 years ago

Mwananchi

Mwili wa bilionea Mrema wawasili

Vilio na majonzi vimetawala jana wakati mwili wa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu, Maleu Mrema ulipowasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) ukitokea nchini Afrika Kusini.

 

9 years ago

GPL

MWILI WA WAZIRI KOMBANI WAWASILI DAR

Aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya CCM na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Celina Kombani. Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Celina Kombani umewasili muda huu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam. Mwili...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA AMINA NGALUMA WAWASILI DAR

Amina Ngaluma 'Japanese' enzi za uhai wake. MWILI wa mwimbaji mahiri nchini aliyefariki dunia wiki iliyopita nchini Thailand, Amina Ngaluma ‘Japanese’ umewasili jijini Dar es Salaam usiku huu. Nyota huyo wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', mpaka mauti yanamfika alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Kwa mujibu wa mume wa marehemu, Rashid...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani