Bilioni 17/- Bima zazua utata
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeitaka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi maalum wa sh bilioni 17 kwa Shirika la...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Nyumba za Serikali zazua utata
10 years ago
Mtanzania19 Jan
Zitto aibua utata wa Sh bilioni 821 bomba la gesi
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, ameibuka tena na utata wa Sh bilioni 821 ambazo Serikali ya Tanzania imelieleza Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kwamba imezitumia katika mradi wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.
Mradi huo unaogharimu dola za Marekani bilioni 1.55, kati yake asilimia 95 ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Benki ya Exim ya China na asilimia 5 ni fedha zitakazotolewa na Serikali...
11 years ago
Mwananchi31 May
Bima Lee: Bendi ya Shirika la Bima iliyotamba kwa mtindo wa Magnet Tingisha
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Mila zazua mtafaruku makaburini
10 years ago
Habarileo25 Jan
Daladala zazua taharuki Mwanza
WAKAZI wa jiji la Mwanza jana wamekumbana na taharuki baada ya barabara ya Nyerere kushindwa kupitika kufuatia madereva wa daladala yanayofanya safari zake kati ya Airport, Bwiru – Igoma/Kishiri kuegesha kwenye barabara hiyo hivyo kusababisha msongamano wa magari.
10 years ago
BBCSwahili23 Jul
Chupi zazua kihoha Bungeni
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Tiketi za elektroniki zazua jambo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhOS1rFqEM1sDp7HUEq3KOfQ7LUHSaO0Cr82*RBHfoRi1shapz3kSiyO54Xq3xxtee2ezLCA9uuohYqHyuUMPATx/mama.jpg?width=650)
TUZO ZA DIAMOND ZAZUA BALAA!
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Tiketi za elektroniki zazua balaa