Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bingwa huandaliwa, kipaji pekee hakisaidii

Siku zote historia hukumbuka mabingwa. Bingwa ni bora kuliko aliyeshindwa. Unaweza kusema mambo mengi kuhusu bingwa, lakini bingwa anapopatikana ni kielelezo cha mafanikio.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kipaji pekee hakitoshi, bingwa huandaliwa

Siku zote historia hukumbuka mabingwa. Bingwa ni bora kuliko aliyeshindwa. Unaweza kusema mambo mengi kuhusu bingwa, lakini bingwa anapopatikana ni kielelezo cha mafanikio.

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI YAWA BINGWA MICHUANO YA MPIRA WA PETE KLABU BINGWA TANZANIA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiTIMU ya Mpira wa Pete ya Idara ya Uhamiaji,imeibuka mshindi katika michuano ya mashindano ya Klabu bingwa wa mpira wa pete baada ya kuipiga timu ya Mbweni JKT iliyokuwa ikishikilia ubingwa huo. Akizungumza baada ya kupokea kombe hilo ,Kamishina wa Utawala na Fedha wa Idra ya Uhamiaji,Piniel Mgonja  amewataka wachezaji wa timu hiyo kujituma na kuweza kulinda kombe hilo ililisichukuliwe katika michuano mingine. Mgonja amesema katika mwaka huu wamekuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kipaji ni pamoja na nidhamu

Mchezaji hata kama atakuwa na kipaji kizuri kiasi gani uwanjani, kuna jambo moja lazima awe nalo. Ingawa jambo hili halihusiani moja kwa moja na uwezo au kipaji chake, lakini lina nafasi kubwa ya kumfanya kuendelea kujenga kipaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Unawezaje kutambua kipaji chako?-1

Baada ya kuandika kwa wiki mbili mfululizo kuhusu umuhimu wa kutambua kipaji chako ili ufanikiwe maishani, nimepokea maoni ya wasomaji wengi wakitaka nijikite kuelezea namna gani binadamu anaweza kutambua kipaji chake.

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO MWENYE KIPAJI ADHIMU


Mtoto huyo pichani umri wake hauzidi hata miaka mitano (5) lakini sarakasi alizoruka zilimsangaza kila mtu, wahusika wanatakiwa watembee mikoani kuangalia vipaji hivi, hawa ndio watakaotuletea medali za Olympic miaka ya baadae kama wakiendelezwa. Hii ilikuwa Wilayani Handeni mkoani Tanga wakati wa sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Mkata-Handeni hadi Korogwe kwa kiwango cha lami.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dullayo ajivunia kipaji chake

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abrahaman Kasembe ‘Dullayo’, amesema anajivunia kipaji alichonacho kwani hakiwezi kuchuja kama inavyokuwa kwa wasanii wengine. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Dullayo alisema,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yatima asiyesoma na kipaji cha Hesabu

Sikiliza ripoti ya Leonard mubali kuhusiana na msichana Anna Jackson kutoka Mtwara kusini mwa Tanzania mwenye kipaji cha hesabu.

 

10 years ago

Mwananchi

Inahitaji kazi kuvumbua kipaji, kukiendeleza

Kipaji ni uwezo wa mtu kufanya jambo au kazi vizuri na kwa urahisi. Kipaji kinaweza kuwa kuimba, kucheza mpira, kuigiza, kupenda kujisomea vitabu na kuongoza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani