Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Blatter aipongeza Yanga ya Tanzania

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu DunianI Joseph Blatter amempongeza Jamal Malinzi rais wa TFF

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Malinzi aipongeza Yanga

Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans, Yusuf Manji kufuatia timu yake kutwaa Ubingwa .

 

11 years ago

Habarileo

Waziri wa Finland aipongeza Tanzania

WAZIRI wa Maendeleo ya Kimataifa wa Finland, Pekka Haavisto ameipongeza Tanzania kwa kuwa nchi yenye amani na watu wake kushiriki katika upatanisho na usuluhishi kwa mataifa mengi Afrika, kwa kutambua kuwa athari za machafuko ya nchi hizo, yana madhara makubwa kwa amani hiyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Blatter na Platini wafungiwa miaka 8 kutojihusisha na soka, Blatter achukua uamuzi huu

Untitled

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Rais wa Shirikisho la Dunia la Soka (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) na Rais wa UEFA, Michel Platini wamefungiwa miaka 8 kutojihusiaha na soka na kamati ya maadili ya FIFA kwa kosa la kutumia mamlaka yao vibaya kwa kosa la matumizi mabaya ya fedha za FIFA.

Blatter na Platini wanadaiwa kuwa mwaka 2011, kugawiana pesa kiasi cha Euro Milioni 1.35 ambapo Blatter alimlipa Platini kama malipo kwa kazi ya kuwa mshauri wa Blatter mwaka 1999-2002.

Licha ya kuwafungia miaka...

 

11 years ago

Michuzi

Ban Ki Moon AIPONGEZA TANZANIA KWA ULIPAJI WA MICHANGO YAKE

Na Mwandishi Maalum  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, ametoa shukrani na pongezi za pekee kwa kuwa moja ya nchi 29 kati ya 193 ambazo hadi kufikia Mei Sita mwaka huu, zilikuwa zimelipia kwa ukamilifu na kwa wakati michango yake katika Umoja wa Mataifa.  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kati ya nchi hizi ambazo katibu Mkuu amezipongeza. Tanzania imelipa zaidi ya dola za kimarekani 450,000 kama sehemu ya michango yake kwa Chombo hicho cha Kimataifa.  Na kwa...

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI WA PAKISTAN AIPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA KWA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA

Na WAMJW – Dar es Salaam
 Serikali imepongezwa kwa jitihada inazozifanya katika kukabiliana na ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) hapa nchini.

Pongezi hizo zimetolewa leo jijini Dar es Salaam na mwakilishi wa Ubalozi wa Pakistani hapa nchini Muhammad Saleem wakati akikabidhi vifaa vya kujikinga na ugonjwa huo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Saleem alisema tangu ugonjwa huo ulipoingia hapa nchini mwezi uliopita kasi ya maambukizi ni ndogo...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana aipongeza Zanu-PF

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amepongeza Chama cha Zanu-PF cha Zimbabwe, kwa kusimama imara licha ya changamoto mbalimbali zinazoikabili nchi hiyo, ikiwemo vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa dhidi ya nchi hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kawambwa aipongeza Tusiime

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, ameipongeza Shule ya Tusiime ya Dar es Salaam ambayo imekuwa ya pili kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kinana aipongeza NHC


KATIBU Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kwa kazi nzuri ya ujenzi wa nyumba pamoja na kutoa mafunzo kwa vijana juu ya ufyatulishaji wa matofali.
Kinana alitoa pongezi hizo  baada ya kuanza kutembelea Jimbo la Vunjo, juzi na kukagua kikundi cha vijana wanaojishughulisha na ufyatuaji wa matofali.
Alisema NHC mbali ya kazi nzuri ya kujenga nyumba kila sehemu, pia imekuwa ikitoa mashine za kufyatulia matofali kwa vikundi mbalimbali vya vijana.
Kinana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani