Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Blatter ana haki ya kupewa Medali:Putin

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kiongozi wa FIFA,Sepp Blatter ana haki ya kutunukiwa medali ya uongozi bora wa kuliongoza shirikisho la kandanda duniani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mahakama: Mansour ana haki ya dhamana

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Na Is-haka Omar, Zanzibar

MAHAKAMA Kuu ya Zanzibar, imesema haina pingamizi na ombi la dhamana kwa aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembesamaki, Mansour Himid Yussuf.

Imesema kutokana na ombi hilo, mahakama imebaini kuwa limezingatia vigezo vyote vya kisheria.

Ombi hilo la dhamana liliamuliwa jana  baada ya mawakili wa upande wa utetezi na Serikali kuvutana kisheria mahakamani hapo.

Baada ya mabishano hayo ya kisheria, anayesikiliza ombi...

 

9 years ago

Raia Tanzania

‘Kila Mtanzania ana haki ya kupata elimu’

ELIMU ndiyo ufunguo wa maisha, binadamu aliyekamilika hapa duniani ili awe kamili lazima awe na elimu ya mazingira yanayomzunguka, ndiyo maana vitabu vya Mungu vyote vinahimiza umuhimu wa elimu.

Unapoitaja elimu kwa muktadha wa wa mwanga katika jamii, unaongeza umuhimu wake kwa kila mwenye fursa ya kuipata bila kujali umri, hali ya kiuchumi na jinzia. Kumekuwepo na tatizo la watu waliopita umri wa kuanza shule ya msingi ambao ni miaka saba, serikali ikabaini hilo tatizo na kuanzisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Je, mkopaji ana haki zipi hasa kisheria?

Haki ni stahiki za kisheria ambazo mtu anapaswa azipate au apewe. Wajibu ni majukumu ambayo mtu anapaswa kuyatimiza katika kufanikisha au kukamilisha jambo fulani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanamke ana haki ya kumiliki mali kisheria

Ukimuelimisha mwanamke umeielimisha jamii. Ni wakati wa kuondokana na mfumo dume. Mwanamke akiwezeshwa anaweza. Mwanamke ndiye mlezi wa familia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TABCO: Mwanamke ana haki kumiliki mali

UMILIKI wa mali zinazotokana na mirathi ni jambo muhimu linalotakiwa kutiliwa maanani na jamii yote pasipo kujali jinsia. Serikali nayo inatakiwa lazima iwajibike kikamilifu katika hili, juu ya kuhakikisha haki...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Nani ana haki ya kupata elimu katika jamii?

WAJIBU wa kila mzazi nchini mwenye mtoto aliyefikisha umri wa kwenda shule ni kuhakikisha mtoto huyo anakuwa darasani, lakini bado wapo wazazi wanaoshindwa kutekeleza wajibu huo.

Achilia mbali watoto wanaozurura mitaani kutokana na kukosa nafasi ya kwenda shule, lakini wapo pia watoto wanaoishi na wazazi wao lakini hawakupata wasaa wa kukaa darasani na kumsikiliza mwalimu kutokana na maisha duni ya wazazi wao.

Hata hivyo, ieleweke Tanzania ya sasa si ile ya zamani ambapo idadi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mama Maria asema Makongoro ana haki kugombea urais

>Mke wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere amesema kuwa mtoto wake, Makongoro Nyerere ana haki ya kugombea nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

5 years ago

BBCSwahili

Vladimir Putin: Kura itakayomuwezesha Putin kuwa madarakani miaka 36

Kwa miaka 20 Vladimir Putin amekuwa Rais au Waziri mkuu wa Urusi, lakini je ataendelea kuwa madarakani au la?

 

9 years ago

Dewji Blog

Blatter na Platini wafungiwa miaka 8 kutojihusisha na soka, Blatter achukua uamuzi huu

Untitled

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Rais wa Shirikisho la Dunia la Soka (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) na Rais wa UEFA, Michel Platini wamefungiwa miaka 8 kutojihusiaha na soka na kamati ya maadili ya FIFA kwa kosa la kutumia mamlaka yao vibaya kwa kosa la matumizi mabaya ya fedha za FIFA.

Blatter na Platini wanadaiwa kuwa mwaka 2011, kugawiana pesa kiasi cha Euro Milioni 1.35 ambapo Blatter alimlipa Platini kama malipo kwa kazi ya kuwa mshauri wa Blatter mwaka 1999-2002.

Licha ya kuwafungia miaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani