Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Maria asema Makongoro ana haki kugombea urais

>Mke wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere amesema kuwa mtoto wake, Makongoro Nyerere ana haki ya kugombea nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Vijana wapiganie sasa haki ya kugombea urais, Vijana wasisubiri wazee wawaruhusu kugombea urais

Patrice Lumumba. Julius Nyerere. Na Walusanga Ndaki
IJUMAA moja ya alasiri na kiangazi jijini Dar es Salaam, mwandishi wa makala hii ambaye sasa ana umri wa miaka 60 alikuwa akifanya mzaha wa kupiga danadana mpira wa miguu nje ya ofisi yao kabla ya kwenda kwenye mechi ya soka kati ya timu ya ofisi yake na taasisi moja ya habari. Mwandishi huyo alifanya hivyo kwa umahiri mkubwa kwa kama dakika tano mbele ya wafanyakazi wenzake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mama Maria Nyerere asema yuko hai

''Niko salama na buheri wa afya''Hayo ni maneno ya Mama Maria Nyerere ,mjane wa rais wa kwanza wa taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

 

10 years ago

Habarileo

Sala, maombi kudumisha amani asema Mama Maria Nyerere

Mama Maria NyerereMJANE wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, amepokea nishani ya kudumisha na kuhamasisha amani nchini, huku akimtaka kila mwananchi kwa nafasi yake kuombea taifa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Museveni asema ana imani atashinda urais

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema wagombea urais wanaoshindana naye kwenye uchaguzi mkuu mwaka ujao si tishio kwake.

 

9 years ago

Bongo5

Hata Kim Kardashian hakujua kama Kanye West ana mpango wa kugombea urais 2020 mpaka alipotangaza kwenye VMA

Taarifa za rapper Kanye West kutaka kugombea urais wa Marekani ifikapo mwaka 2020, hazikuwashangaza watazamaji tu, bali hata mkewe Kim Kardashian hakuwa anafahamu mpaka aliposikia mumewe Kanye akitangaza kwenye tuzo za VMA. Akizungumza kwenye kipindi cha The Ellen DeGeneres Show, mama kijacho Kim K amesema anaamini kuwa mume wake Kanye yuko serious katika uamuzi huo […]

 

11 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI ATUA TANZANIA KUSAKA KURA, AKUTANA NA MAMA MARIA NYERERE KUOMBA BARAKA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimlaki mgombea Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi cha FRELIMO, Mhe Filipe Nyusi alipowasili leo jioni Julai 9, 2014, kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya ziara ya siku tatu, kusaka kura kwa wananchi wa Msumbiji wanaoishi Tanzania, kufuatia kampeni za Urais zinazoendelea nchini kwake.Mgombea huyo wa Urais Filipe Nyusi akimsalimia Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ambaye pia alifika...

 

10 years ago

Bongo5

AY asema mama yake na Sean Kingston humchukulia kama mwanae,’ hata kwenye Instagram yangu ana comment’

AY amesema kuwa ukaribu alionao na msanii Mjamaica-Mmarekani, Sean Kingston ni zaidi ya urafiki wa kikazi kiasi ambacho wanachkuliana kama kama familia. AY ameiambia Bongo5 kuwa mama yake Sean humchukulia kama mtoto wake na wanawasiliana mara kwa mara. “Yaani huyu jamaa ananipa support asilimia 100 huwezi kuamini ni mtu ambaye si yeye tu hadi mama […]

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ACHOTA BARAKA KWA MAMA MARIA NYERERE KUELEKEA SAFARI YAKE YA URAIS NCHINI TANZANIA

Mwigulu Nchemba akiwa na Mama Maria Nyerere hii leo Kijijini Butiama,Nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere alipokwenda kusalimia .Mwigulu Nchemba akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Baba wa Taifa Mwl.Nyerere,Nyerere anaendelea kukumbukwa kwa kuwa Muasisi wa Taifa letu na Kiongozi aliyeweka Misingi Imara ya Tanzania tuliyonayo sasa.
Mh.Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mama Maria nyerere hii leo,Nyumbani Butiama.Wakati wa kuchota Baraka za Mama Maria nyerere akiwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Di Maria ana shaka kuhusu nusu fainali

Angel Di Maria ana shaka ikiwa atashiriki nusu fainali Jumatano ijayo kati ya Argentina na Uholanzi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani