Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Blatter apinga uchunguzi kuchapishwa

Rais wa FIFA amepinga kuchapishwa kwa ripoti ya uchunguzi ya wakili Michael Garcia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio adhabu ya FIFA kwa Sepp Blatter na Michel Platini baada ya uchunguzi kufanyika …

Baada ya uchnguzi wa kina kufanyika na wachunguzi wa shirikisho la soka ulimwenduni FIFA wameamua kutoa adhabu ya kuwafungia miaka nane kutojihusisha na masuala ya soka aliyekuwa Rais wa soka ulimwenguni FIFA Sepp Blatter na Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya Michel Platini. Blatter na Platini wamekumbana na adhabu hiyo baada ya kukutwa na […]

The post Hii ndio adhabu ya FIFA kwa Sepp Blatter na Michel Platini baada ya uchunguzi kufanyika … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Blatter na Platini wafungiwa miaka 8 kutojihusisha na soka, Blatter achukua uamuzi huu

Untitled

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Rais wa Shirikisho la Dunia la Soka (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) na Rais wa UEFA, Michel Platini wamefungiwa miaka 8 kutojihusiaha na soka na kamati ya maadili ya FIFA kwa kosa la kutumia mamlaka yao vibaya kwa kosa la matumizi mabaya ya fedha za FIFA.

Blatter na Platini wanadaiwa kuwa mwaka 2011, kugawiana pesa kiasi cha Euro Milioni 1.35 ambapo Blatter alimlipa Platini kama malipo kwa kazi ya kuwa mshauri wa Blatter mwaka 1999-2002.

Licha ya kuwafungia miaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Katuni ya Mtume Mohammad kuchapishwa

Gazeti la Charlie Hebdo la ufaransa toleo la kesho jumatano litarajiwa kuchapisha kibonzo cha Mtume Mohamed katika ukurasa wake wa mbele.

 

10 years ago

GPL

KATUNI YA MTUME MUHAMMAD KUCHAPISHWA KESHO

Gazeti la Vibonzo la Charlie Hebdo. Gazeti la kila wiki la vibonzo la Charlie Hebdo la Ufaransa toleo la kesho Jumatano linatarajiwa kuchapisha kibonzo cha Mtume Muhammad katika ukurasa wake wa mbele chini ya kichwa cha habari "Yote yameshasamehewa" Walioona kibonzo hicho wanasema Mtume Muhammad ataonekana akishikilia bango lililoandikwa "Je suis Charlie" maneno yenye tafsiri "Mimi ni Charlie, yaliyotumika kuonyesha mshikamano,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kitabu cha Adolf Hitler kuchapishwa tena

Kitabu maarufu cha Adolf Hitler kwa jina Mein Kampf kitachapishwa tena kikiwa na maelezo zaidi ya wasomi mwezi ujao.

 

10 years ago

Michuzi

kitabu cha Africans and Americans: Embracing Cultural Differences, chatimiza miaka 10 tangu kuchapishwa


Na Profesa Joseph Mbele

Kitabu changu, Africans and Americans: Embracing Cultural Differences, kimetimiza miaka kumi tangu nilipokichapisha, tarehe 5 Februari, mwaka 2005. Siku hiyo niliuingiza muswada katika mtandao wa lulu nikalipia namba ya utambulisho wa kitabu, yaani ISBN. Siku hiyo hiyo niliagiza nakala ya kwanza, nikaipata baada ya wiki moja hivi. Wiki hii ni kumbukumbu ya miaka kumi ya kuwepo kwa kitabu hiki.
Mambo mengi yametokea katika miaka hii kumi kuhusiana na kitabu hiki....

 

5 years ago

BBCSwahili

Gazeti Tanzania Daima lapigwa marufuku kuchapishwa na kusambazwa ndani na nje ya Tanzania

Idara ya habari Maelezo nchini Tanzania, imepiga marufuku gazeti la Tanzania Daima kuchapishwa na kusambazwa popote nchini au nje ya nchi kufuatia uamuzi wa kusitisha leseni ya uchapishaji na usambazaji wa gazeti hilo la kila siku.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK apinga serikali tatu

RAIS Jakaya Kikwete amefanya kampeni ya wazi kutetea mfumo wa serikali mbili unaopiganiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akitumia muda mrefu kujaribu kuonyesha ‘ubaya’ wa mfumo wa serikali tatu....

 

11 years ago

Mwananchi

Akilimali apinga kutulizwa

Siku moja baada ya kufungwa mdomo kuzungumzia masuala ya klabu, Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga Ibrahim, Akilimali maarufu ‘Abromovich’ amesema hatasita kuongea iwapo kuna jambo litamkera.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani