Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Blogger mkongwe nchini Adam Mzee afunga ndoa na Bi. Lilian Malekia

IMG-20150503-WA0031

Mrs.Adam Mzee  mara baada kufunga pingu za maisha.

Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi,waliosimama kutoka kushoto ni,Merry Geofrey,Sheila Simba,Hafidh Kido ,John Bukuku,Suleiman Mwenda,Micky, Said Mwishehe,Sharifa, Neema Mwangomo,Abdala Kiluke,Mringi Petro ,katika Harusi ya Adam Mzee iliyofanyika katika Ukumbi wa Kivukoni,Serena Hotel.

Adam Mzee ni mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu ,Idara ya Itikadi na Uenezi,na ni mmiliki wa  blog maarufu ya Kamerayangu na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mwigizaji mkongwe nchini Lucy Komba afunga ndoa. Tazama picha za harusi

Hatimaye yule mwigizaji mkongwe nchini Lucy komba amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi aishie nchini Denmark aliyefahamika kwa jina la Stanley,. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii nchini lucy ameandika

"..Asante Mungu kwa siku hii nzuri na muhimu sana katika maisha yangu, wengi hawakutaka nifikie siku hii, kunawengine walinuna, kunawengine waliniombea mabaya, kuna wengine walichukia na wengine waliambiana wanichunie walifikiri bila wao Mungu hawezi kuifanikisha siku...

 

10 years ago

Michuzi

ADAM MZEE NA LILIAN WAMEREMETA

 Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi,waliosimama kutoka kushoto ni,Merry Geofrey,Sheila Simba,Hafidh Kido ,John Bukuku,Suleiman Mwenda,Micky, Said Mwishehe,Sharifa,Neema Mwangomo,Abdala Kiluke,Mringi Petro ,katika Harusi ya Adam Mzee iliyofanyika katika Ukumbi wa Kivukoni,Serena Hotel.
Adam Mzee ni mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu ,Idara ya Itikadi na Uenezi,na ni mmiliki wa  blog maarufu ya Kamerayangu na Lilian ni mtumishi wa NMB Makao Makuu. Katibu Mkuu wa Chama...

 

11 years ago

Bongo Movies

SAD News: Muigizaji Mkongwe Nchini Mzee Small Afariki Dunia.

Mwigizaji maarurfu nchini Said Ngamba "Mzee Small" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupatwa na pressure na kukimbizwa hospitali ya taifa Muhimbili. Muigizaji huyo mkongwe kabla ya kifo chake aliugua kwa muda mrefu pia. Mzee Small ni mmoja wa wasanii wa mwazo katika sanaa ya maigizo nchini kwenye enzi zake akiwa ametamba na wasanii wenzake wakongwe kama vile Bi.Chau na King Majuto, ni mmoja wa wasanii ambao mchango wake katika sanaa ya maigizo na tasnia ya filamu nchini hauwezi...

 

10 years ago

Michuzi

Refarii wa mchezo wa masumbwi nchini Ally Bakari Champion afunga ndoa

Refarii wa mchezo wa masumbwi nchini Ally Bakari Champion  akiwa na mke wake Aisha Chilumba  baada ya kuowa hivi karibuni maeneo ya Vingunguti Dar es salaam
Ally Bakari Champion akiozeshwa
Refarii wa mchezo wa masumbwi nchni kushoto akiwa na mke wake Aisha Chilumba  baada ya kuowa hivi karibuni maeneo ya Vingunguti Dar es salaam

 

11 years ago

GPL

NASSARI AFUNGA NDOA

Joshua Samwel Nassari (kulia) akiwa na mke wake Anande Nko. Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika Viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hoteli ya Ngurdoto. Sherehe hiyo ilianza mishale ya saa 7:00 mchana ambapo watu wote walialikwa wakiwemo ndugu, marafiki, jamaa na wananchi wote...

 

10 years ago

GPL

TANZIA: MSANII MKONGWE WA FILAMU, MZEE KANKAA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO JIONI

Marehemu Juma Ally Salim ‘Mzee Kankaa’ enzi za uhai wake. MSANII mkongwe wa filamu nchini, Juma Ally Salim ‘Mzee Kankaa’ amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake Tandale jijini Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa muda mrefu. Mwili wa Mzee Kankaa unatarajiwa kuzikwa leo saa 10 jioni katika makaburi ya Ali Maua jijini Dar es Salaam. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na...

 

11 years ago

GPL

MTALAKA WA KIRIA AFUNGA NDOA

Na Hamida Hassan
MTALAKA wa mtangazaji Joyce Kiria, Nelson Nkongo ‘DJ Nelly’ amefunga ndoa na mwanamke mwingine aliyefahamika kwa jina la Elinda ‘Aika’. Joyce Kiria. Mapema wiki hii, picha za wanandoa hao zilizagaa kwenye simu za mastaa mbalimbali huku wengi wao wakimpongeza Nelly kwa kuchukua uamuzi huo wa kuvuta jiko lingine baada ya kumwagana na Joyce mwaka 2011. “Tunampongeza Nelly kwa kuwa...

 

10 years ago

GPL

BI HARUSI AFUNGA NDOA, ATOROKA

SHANI RAMADHANI AIBU ya mwaka! Mwanadada aliyefahamika kwa jina la Tatu Ally  (26), mkazi wa Kongowe, Mbagala, Dar amejikuta akiifedhehesha familia yake kufuatia kutoroka kwa mumewe siku moja tu baada ta kufunga ndoa, Amani lina picha kamili. Mwanadada Tatu Ally anayedaiwa kutoroka baada ya kufunga ndoa. Kwa mujibu wa chanzo, ndoa hiyo ilifungwa Aprili 4, mwaka huu Mbagala jijini Dar kisha bi harusi huyo kwenda kwa mumewe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani