Refarii wa mchezo wa masumbwi nchini Ally Bakari Champion afunga ndoa
Refarii wa mchezo wa masumbwi nchini Ally Bakari Champion akiwa na mke wake Aisha Chilumba baada ya kuowa hivi karibuni maeneo ya Vingunguti Dar es salaam
Ally Bakari Champion akiozeshwaRefarii wa mchezo wa masumbwi nchni kushoto akiwa na mke wake Aisha Chilumba baada ya kuowa hivi karibuni maeneo ya Vingunguti Dar es salaam
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboALLY BAKARI CHAMPION ACHUKUWA JIKO
11 years ago
Michuzi12 Feb
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' aipiga jeki Uhuru Gym
10 years ago
Dewji Blog04 May
Blogger mkongwe nchini Adam Mzee afunga ndoa na Bi. Lilian Malekia
![](http://3.bp.blogspot.com/-57w1g2v_4j8/VUZQsJuhWqI/AAAAAAAAHJs/QBcuetEc4V4/s1600/2.jpg)
Mrs.Adam Mzee mara baada kufunga pingu za maisha.
![](http://3.bp.blogspot.com/-6llrmIG7_Dk/VUZQssEVUXI/AAAAAAAAHJw/TBRfeCUmjPg/s1600/3.jpg)
Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi,waliosimama kutoka kushoto ni,Merry Geofrey,Sheila Simba,Hafidh Kido ,John Bukuku,Suleiman Mwenda,Micky, Said Mwishehe,Sharifa, Neema Mwangomo,Abdala Kiluke,Mringi Petro ,katika Harusi ya Adam Mzee iliyofanyika katika Ukumbi wa Kivukoni,Serena Hotel.
Adam Mzee ni mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu ,Idara ya Itikadi na Uenezi,na ni mmiliki wa blog maarufu ya Kamerayangu na...
10 years ago
Bongo Movies09 Sep
Mwigizaji mkongwe nchini Lucy Komba afunga ndoa. Tazama picha za harusi
Hatimaye yule mwigizaji mkongwe nchini Lucy komba amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi aishie nchini Denmark aliyefahamika kwa jina la Stanley,. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii nchini lucy ameandika
"..Asante Mungu kwa siku hii nzuri na muhimu sana katika maisha yangu, wengi hawakutaka nifikie siku hii, kunawengine walinuna, kunawengine waliniombea mabaya, kuna wengine walichukia na wengine waliambiana wanichunie walifikiri bila wao Mungu hawezi kuifanikisha siku...
9 years ago
StarTV29 Nov
Wladmir Klitschko, Tyson Fury ulingoni Jumamosi hii kwa mchezo wa masumbwi
Mabondia wa uzito wa juu duniani Wldmir Klitschko wa Ukraine na Tyson Fury wa England jumamosi hii kupanda ulingoni huko Dusseldorf nchini Ujerumani huku pambano hilo la raundi 12 likisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki.
Klitschko amabaye amkuwa bingwa wa dubnia wa uzani huo tangu 2006 akiwa amepigana mara 27 na kushinda mara 23 atakuwa akitetea taji lake la WBA, IBF na WBO dhidi ya Fury anayetamba kumtandika bondia huyo wa Ukraine.
Hali ilikuwa uya utulivu wakati mabondia hao...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4jF2NCPiUVzey1XJx8*aVzH5EFh7INJOlsOU*vpHwIfcXaU-cj3Ow2dMTUs-Z0fGotknA-SaKF0213-gPZD1*iE/Riyana.gif?width=650)
RIYAMA ALLY ALILIA NDOA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi1wp8RDvDZg-3B5d8cu*v5KgvEw8JExj50NuRGX3VyRnBvT*AyF7TRAVTqO7XV6QxB3mBn85sN0jgqr-mbqBgit/Nasari2.jpg?width=534)
NASSARI AFUNGA NDOA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WRH9ovbTZmBjiN6lZQ2DO3-STCmCaNVfb1dWveORsO4CwzpaG86JwYV4XMTbx59yvXgPQmR9aubfZEWtn2wpp9okOb-a7q7Z/IMG20140531WA0036.jpg?width=650)
MWAIKIMBA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA