Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BMT kuandaa muongozo kuhusu ukomo wa wachezaji wa Nje nchini.




Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Yusuph Singo akifafanua kuhusu usajili wa wanamichezo wa kigeni hapa nchini leo Aprili 29,2020 Jijini Dodoma.

***********************************

Na Shamimu Nyaki, WHUSM-Dodoma

Serikali haijatoa ukomo wa wachezaji kutoka nje kushiriki
michezo hapa nchini bali imeibua mjadala kwa wadau ili
watoe maoni yao.

Hayo yamesemwa leo Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw.Yusuph...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPITIA RASIMU YA MUONGOZO WA KUANDAA MPANGO WA RASILIMALI WATU KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Mkurugenzi wa Uendelezaji Sera Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Agnes Meena akifungua kikao kazi cha wadau cha kupitia Rasimu ya Mwongozo wa kuandaa Mpango wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro katika ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango ya Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala...

 

5 years ago

CCM Blog

BARAZA LA USALAMA LAIDHINISHA MUONGOZO KUHUSU AMANI LIBYA

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha vifungu 55 vya muongozo utakaomaliza vita nchini Libya na kushutumu  ongezeko  la matumizi ya nguvu katika nchi hiyo yenye utajiri wa mafuta ya Afrika ya kaskazini.

Azimio lililoidhinishwa na baraza  la  Usalama pia  limetoa wito  wa  kuwapo  na usitishaji  wa  kudumu  wa  mapigano nchini  Libya, ambako makubaliano tete ya  kusitisha  mapigano yamekuwapo  tangu  Januari mwaka  huu.

Azimio hilo  lililotayarishwa  na  Uingereza ,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Muongozo wa uchaguzi nchini Uingereza

Taifa lote la Uingereza limegawanywa katika majimbo 650 ambapo kila jimbo humchagua mbunge wake.

 

11 years ago

Michuzi

Kenny Mwaisabula kuandaa tamasha la mpira wa miguu la wachezaji wa zamani

Kocha Kennedy Mwaisabula kupitia kampuni yake ya Kenny Mwaisabula Enterprises anaandaa tamasha kubwa la wachezaji wa zamani linalotarajiwa kufanyika 14 Oct, 2014 hapa Dar Es Salaam, wachezaji 300 wanatarajiwa kushiriki na baadae kutoa wachezaji 25 bora watakoshiriki mashindano ya wakongwe ya Afrika Mashariki. Picha kulia ni Kenny Mwaisabula akimshukuru Ndg. Phares Magesa (kushoto) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM ambaye ni mdau wa michezo kwa kukubali kuwa mmoja wa wawezeshaji ...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUHUSU WAFUNGWA WA KITANZANIA NCHINI CHINA

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kukanusha taarifa za uvumi zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kuwa kuna Watanzania wapatao 160 wamenyongwa nchini China kwa kosa la kusafirisha madawa ya kulevya. Wizara inapenda kuujulisha Umma kuwa hakuna Mtanzania yeyote aliyenyongwa kama inavyodaiwa kwenye mitandao na vyombo vya habari. Aidha, taarifa hiyo ya uvumi imedai kuwa ndugu wa mmoja wa Watanzania hao ambaye kwa jina anajulikana...

 

5 years ago

Bongo5

Taarifa kuhusu misheni ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa SADC Troika nchini DRC

Mheshimiwa Dkt. Augustine P. Mahiga (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Mwenyekiti wa SADC wa Kamati ya Mawaziri ya Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama (SADC Ministerial Committee of the Organ on Politics, Defense and Security Cooperation – MCO) amewasili Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa ajili ya kuongoza Ujumbe wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa SADC Troika (Tanzania, Angola na Msumbiji) kwa dhumuni la kufanya Misheni ya Pili ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe wavutana kuhusu wabunge kuwajibishwa, kuwa na ukomo katika #Katiba Mpya

Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba zimeendelea kuwasilisha taarifa zake leo huku suala la ukomo wa mbunge na suala la wananchi kumuwajibisha mbunge wao anaposhindwa kazi likizua mvutano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Congo kuandaa kura kuhusu muhula wa rais

Rais Denis Sassou Nguesso amesema nchi yake itaandaa kura ya maamuzi kuamua iwapo ataruhusiwa kuwania urais kwa muhula wa tatu.

 

5 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO DKT. MPANGO ALIVYOWASILISHA MAPENDEKEZO KUHUSU MPANGO WA KIWANGO CHA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI 2020/2021


Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa na Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2020/2021. tukio hilo limefanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Naibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani