Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BODABODA WALIVYOKIMBIA NA MAITI KISA KUAMBIWA WAMEFUATA UBWABWA

Kitendo cha waendesha pikipiki almaarufu Bodaboda kukimbia na maiti kisha kwenda kuzika wenyewe kilikuwa kama sinema na hivi ndivyo ilivyokuwa. Marehemu Gabriel Osward Ngalele. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, Mchungaji Edward Mtweve wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) lililopo Uyole, Njia Panda jijini hapa, hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya Bodaboda hao kuvuruga ibada ya mazishi ya mwendesha pikipiki...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Gari lenye maiti 10 laua ‘bodaboda’, abiria

DEREVA wa bodaboda na abiria wake wamekufa papo hapo baada ya kugongwa na gari lililobeba maiti 10 zilizotolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Maiti yakaa mochwari siku 34, kisa mgogoro wa wazazi

 Mgogoro mwingine mkubwa wa kifamilia wa kugombea maiti, umeibuka mjini Moshi na kusababisha mwili wa Rosemary Marandu (38), kuhifadhiwa mochwari kwa siku 34.

 

11 years ago

CloudsFM

FAMILIA YAKATAA KUCHUKUA MAITI MOCHWARI, KISA YANYOFOLEWA VIUNGO

Vurugu kubwa zimetokea katika kijiji cha Buyango wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya wazazi kuikataa maiti ya mtoto wao kwa madai amenyofolewa viungo vyake vya mwili hali iliyosababisha polisi kutumia mabomu ya machozi kutawanya makundi yaliyofunga barabara na kubomoa chumba cha kuhifadhia maiti kutafuta viungo hivyo.

Vurugu hizo zimetokea baada ya mama mmoja mkazi wa Arusha aliyepeleka maiti ya mtumishi wake wa ndani na kuwakabidhi wazazi wake kwa masharti ya kutoifunua hali...

 

11 years ago

GPL

BODABODA ANUSA KIFO KISA, KUKWAPUA SIMU!

Stori: Mwandishi Wetu Za mwizi arobaini! Ule mchezo wa kukwapua vitu na kukimbia umemtokea puani dereva wa pikipiki almaarufu bodaboda aliyetambulika kwa jina la Abuu Athumani (28) ambaye amenusa kifo baada ya kukwapua simu ya bei mbaya ya mrembo aitwaye Zaituni Hamisi. Dereva wa bodaboda aliyetambulika kwa jina la Abuu Athumani ambaye amenusa kifo baada ya kukwapua simu.
Tukio hilo la aina yake lilijiri majira ya...

 

11 years ago

GPL

Coutinho anogewa na sembe, ubwabwa Yanga SC

Kiungo mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho.
Na Wilbert Molandi
AKIWA amefikisha wiki mbili tangu atue Yanga, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mbrazili, Andrey Coutinho, amefurahia mchanganyiko wa vyakula vya nchini. Mbrazili huyo alijiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo inayojiandaa na Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika. Akizungumza na Championi Jumatatu, Coutinho alisema vyakula...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK za kuambiwa changanya na zako 2015

RAIS Jakaya Kikwete ni zao la kundi la mtandao. Kundi hili liliongoza mapambano ya kidemokrasia ndani ya CCM kuanzia mwaka 1995 baada ya  kura za mwanasiasa huyo kutotosha kwenye kinyang’anyiro...

 

11 years ago

GPL

ZA KUAMBIWA NA JK, WARIOBA TUCHANGANYE NA ZETU

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete Ijumaa iliyopita alilizindua rasmi Bunge Maalum la Katiba kwa kutoa hotuba iliyokigawa chombo hicho muhimu kwa taifa kwa sasa, baada ya wajumbe wake kutofautiana misimamo. Hotuba hiyo ya Rais, ilikuja siku chache tu baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba...

 

11 years ago

GPL

OYAAA… MASELA ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO!

Inakuwaje wanangu? Ama nini? Watu pipooo. Tudei dizaini kama nina mzuka kinomanoma. Hapo kitaa cha kati shwari? Mtu mzima tayari nipo kwa mahewa kukisanukia. Kama vipi karibu kwenye hizi stori za kitaa. Ni tamu sana. Kaa hapo wewe! Kama kawa huwa baba la baba silazi damu kukatiza mitaa. Lasti sandei nikazama kitu cha Mabaibo hosteli. Ni hapa Dar tambarare arifu. Nilikwenda kwa mabizinaa si unajua tena hili jiji kuu la mahela?Ile...

 

10 years ago

Michuzi

JAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA

 Mlinda mlango Maganga Benjamin wa timu ya Bodaboda Wilaya ya Ilala, akiudaka mpira katikati ya wachezaji wa timu ya Jambo Leo 'Wagumu Stars' Zahoro Mlanzi (kushoto) na Ali Salum wakati wa Tamasha la Bodaboda lililofanyika kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa. Jambo Leo ilishinda mabao 2-1. Moja ya kizazaa langoni mwa Bodaboda FC iliyosababishwa na washambuliaji wa Jambo Leo Mshambuliaji wa timu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani