ZA KUAMBIWA NA JK, WARIOBA TUCHANGANYE NA ZETU
![](http://api.ning.com:80/files/DqaYw0w2aP-37kt9hl2RBBeBqlj7d2sdP5VwhTxLSoTJZwlHySwHLzMv6y1NkETlj*kEmwzl-xQLN84DSzC-Adl7I7VO2TiQ/raiskikwete.jpg?width=650)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete Ijumaa iliyopita alilizindua rasmi Bunge Maalum la Katiba kwa kutoa hotuba iliyokigawa chombo hicho muhimu kwa taifa kwa sasa, baada ya wajumbe wake kutofautiana misimamo. Hotuba hiyo ya Rais, ilikuja siku chache tu baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
JK za kuambiwa changanya na zako 2015
RAIS Jakaya Kikwete ni zao la kundi la mtandao. Kundi hili liliongoza mapambano ya kidemokrasia ndani ya CCM kuanzia mwaka 1995 baada ya kura za mwanasiasa huyo kutotosha kwenye kinyang’anyiro...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/omkt7cwbhXL*6kGNSYp2tjbPqONhpJZcNNNJSGtOcHh-XTTwDtdYJ1KsEw2GTaYPdphV9Iet9Mg5MKZXPfY6fzTvxtVNzuAS/1MPEKE.jpg?width=650)
OYAAA… MASELA ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqyNjdC0YQUCCJLIUHyy3A56sCKTJ7XavuoxNZfy8XXyE4utfnMJw2sJp5gh3GQ7S9A-ftkXBMcZljIa07QtgXuI/bodaboda.jpg?width=650)
BODABODA WALIVYOKIMBIA NA MAITI KISA KUAMBIWA WAMEFUATA UBWABWA
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s72-c/1.jpg)
JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE
![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-D6jzGhxpqTw/VgFSU7wmRFI/AAAAAAAAn6U/Tt1AlaI5QWY/s640/3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gbRlc80PpsA/VV0GuZ23UVI/AAAAAAAHYus/LRFVs7g-wdQ/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-gbRlc80PpsA/VV0GuZ23UVI/AAAAAAAHYus/LRFVs7g-wdQ/s320/1.1774256.jpg)
1.USHAHIDI WA KUAMBIWA NININI.
Ushahidi wa kuambiwa ni ushahidi unaotolewa na mtu ambaye hakuona tukio likitendeka, hakusikia tukio likitendeka, hakuhisi wala kuonja, wala kunusa jambo lililo mbele ya mahakama kama kosa isipokuwa aliambiwa na mtu mwingine aliyeona, kusikia, kuhisi, kunusa au kuonja. Hapa kuna watu wawili, kwanza aliyeona au kusikia , na pili yule aliyeambiwa na huyu aliyeona au kusikia .
Kwahiyo ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vTqkQRJjs4A/VV1UpbljoyI/AAAAAAAHYwU/EsfHkWVbgMw/s72-c/download.jpg)
MAKALA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-vTqkQRJjs4A/VV1UpbljoyI/AAAAAAAHYwU/EsfHkWVbgMw/s1600/download.jpg)
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Baada ya kuambiwa anatumia ARV, Amanda poshy aamua kuonesha majibu yake ya “ngoma”
Baada ya ile story iliyozagaa mitandaoni kuwa mwanadada Amanda poshy anatumia ARV (Dawa ya kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI) hatimaye leo, mwanadada huyo ameamua kuudhihirishia umma kuwa yeye yuko safi, na habari hizo ni uzushi tu na yenye lengo la kumchafua kwenye jamii baada ya kuamua kupima na kuweka majibu yake ya vipimo vya “ngoma” hadharani kwenye mtandao mmoja wa kijamii.
Katika picha hiyo mwanadada huyo aliandika kuwa ni vizuri kucheki afya yako mara kwa mara, picha iliyokuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzqS0FdXhkcCScyGBCz*pJuV3-6TJdSGtwQlLjgM3cT*Uia7gDvWM685VCuqq8sCdPYdMgkLyPtPYew335Zhq-o3/1.jpg)
AVAMIA NYUMBA YA MPENZI WAKE, AVUNJA SOFA, ACHANA NGUO NA MASHUKA BAADA YA KUAMBIWA HAPENDWI
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s72-c/1.jpg)
JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-wj5l-WSI6eA/VgFSUm3kmGI/AAAAAAAAn6Y/SduVxz1S-9c/s640/2.jpg)