Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bosi UVCCM amzungumzia mrithi wa Kikwete

MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Juma Sadifa amependekeza Rais ajaye kutoka chama hicho awe ni yule mwenye kuwapenda vijana kama alivyo Rais wa sasa Jakaya Kikwete.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UVCCM ZANZIBAR WAOMBA KUPATIWA MRITHI WA MZEE KINGUNGE KUNOGESHA USHINDI WAO

 Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini-Unguja ndugu Mbarouk Mrakib katikati akizungumza na Waandishi wa habari huko ofisini kwake Bububu kuhusu mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuomba kupatikana kwa Kamanda Mpya wa UVCC Taifa baada ya Mzee Kingunge kuvuliwa Ukamanda huo. Kulia kwake ni Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini Canal Msaafu Masoud Ali Khamis na kushoto ni Mjumbe wa Kamati tendaji UVCCM Wilaya Khadija Ramadhan Abdu. Picha na Faki Mjaka- Maelezo Zanzibar. Mwenyekiti wa UVCCM...

 

5 years ago

CCM Blog

JAKAYA KIKWETE AMZUNGUMZIA MAREHEMU MAHIGA




Makamu wa rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi ataongoza mazishi ya aliyekuwa waziri wa Sheria na Katiba Dr. Agustine Mahiga ambae alifariki jana Ijumaa jijini Dodoma, baada ya kuukua kwa muda mfupi.Dr. Mahiga atazikwa kwao huko Mkoani Iringa.Augustine Philip Mahiga, ni moja ya wanadiplomasia mahiri kuwahi kutokea nchini Tanzania...Balozi Mahiga, mwanadiplomasia nguli aliyehudumu kwa miongo mitanoPia ni moja kati ya watu wachache amabao wamefanya kazi katika ngazi za juu na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jakaya Kikwete amzungumzia Marehemu Augustine Philip Mahiga aliyefariki jana

Augustine Philip Mahiga, ambaye amefariki Ijumaa jijini Dodoma ni moja ya wanadiplomasia mahiri kuwahi kutokea nchini Tanzania.

 

10 years ago

GPL

MRITHI WA MAMA SALMA KIKWETE VITA NZITO!

Mwandishi wetu
TAYARI imebainika kwamba, baadhi ya viongozi walioonesha nia ya kugombea urais mwaka huu wameanza kupigiwa debe na wake zao ndani ya mitandao ya kijamii ili waume hao watakapoibuka na ushindi wapate nafasi ya ‘u–First Lady’, Risasi Jumamosi linakupa zaidi! Mama Salma Kikwete. Taarifa zilizotua juu ya dawati la gazeti hili juzi zilisema kuwa, vita ni nzito kwani baadhi ya wake wa wagombea nao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nani atakaye mrithi Kikwete katika CCM?

Chama tawala cha Mapinduzi Tanzania - CCM kimeanza rasmi mkutano mkuu wa taifa wa chama hicho mjini Dodoma

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete ateua bosi mpya MSD

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amemteua Laurean Rugambwa Bwanakunu kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).

 

11 years ago

Habarileo

Bosi UN asifu jitihada za Kikwete sekta ya afya

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moonKATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon amesifu jitihada za Rais Jakaya Kikwete na mchango wake mkubwa katika kupigania Afya ya Mama na Mtoto.

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete amteua Masikitiko kuwa bosi mpya TBS

Rais Jakaya Kikwete amemteua Joseph  Masikitiko kuwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA MATEMBEZI YA UVCCM ZANZIBAR

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la Chipukizi kabla ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar jana Januari 5, 2014 .
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua Brass Band ya Chipukizi kabla ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani