Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Boss Mkuu wa Usalama wa Taifa Rwanda Emanuel Karenzi Karake Akamatwa London

London,Uingereza,
Mkuu wa usalama wa taifa wa nchi ya Rwanda Major Gen.Emanuel Karenzi Karake amekamatwa na wanausalama katika uwanja wa ndege wa Heathrow nchini Uingereza mwishoni mwa wiki iliyopita,kwa kutuhuma za mauaji ya kivita mwaka 1994 na baada ya mwaka huo pia.Major Gen.Karenzi Karake aliwekwa kizuwizini na baadaye kufikishwa katika mahakama ya Westminister,amri ya kukamatwa kwa mkuu huyo wa idara ya ujasusi (NISS) ya Rwanda kunatokana na ombi la mahakama ya nchi ya Spain ambayo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

Rwanda angry over London arrest of spy chief Karenzi Karake


The Rwandan government has branded the arrest of its intelligence chief Karenzi Karake as "an outrage".Gen Karake, 54, was arrested at Heathrow Airport on Saturday, accused of ordering massacres in the wake of the 1994 Rwanda genocide.
He was arrested by Met police officers under the European Arrest Warrant on behalf of the Spanish authorities.Williams Nkurunziza, Rwanda's High Commissioner to the UK, said it was "an insult to our collective conscience".Prime Minister David Cameron's official...

 

10 years ago

BBCSwahili

Karenzi Karake akamatwa Heathrow

Mkuu wa upelelezi nchini Rwanda,ambaye alikuwa anasakwa nchini Hispania kwa makosa ya uhalifu wa kivita, amekamatwa mjini London.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je, Karenzi Karake ni nani?

Nchini Rwanda anajulikana zaidi kwa jina fupi KK.luteni jenerali Karenzi Karake, ana mwenye umri wa miaka 54

 

5 years ago

CCM Blog

MSHUKIWA MKUU WA MAUAJI YA KIMARI RWANDA AKAMATWA


Mshukiwa mkubwa wa mauaji ya kimbari akamatwaHaki miliki ya pichaUS STATE DEPARTMENTFélicien Kabuga, miongoni mwa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, amekamatwa karibu na mji wa Paris, wizara ya sheria ya Ufaransa imetangaza.Bwana Kabuga ameshikiliwa na polisi mjini Asnières-Sur-Seine, eneo ambalo alikuwa anaishi kwa utambulisho wa uongo.Mahakama ya kimataifa ya mauji ya kimbari yaliyotokea Rwanda yamemshtaki bwana Kabuga mwenye umri wa miaka 84-kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu.Anadaiwa kuwa mfadhili mkuu wa wahutu ambao waliuwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Félicien Kabuga: Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kimbari Rwanda akamatwa

Félicien Kabuga, miongoni mwa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, amekamatwa karibu na mji wa Paris, wizara ya sheria ya Ufaransa imetangaza.

 

5 years ago

BBCSwahili

Idara ya usalama ya Rwanda imethibitisha kuwa inamshikilia mwanamuziki nyota nchini Rwanda, Kizito Mihigo

Mwanamuziki mashuhuri nchini Rwanda Kizito Mihigo alikamatwa akidaiwa kujaribu kuvuka mpaka kuingia Burundi kinyume cha sheria.

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI SILIMA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI JIJINI TANGA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani, Pereira Ame Silima akizungumza na Wadau wa Usalama Barabarani pamoja na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za barabarani nchini. Kulia ni Katibu wa Baraza la Usalama Barabarani ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna wa...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI SILIMA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI JIJINI ARUSHA LEO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani, Pereira Ame Silima akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za barabarani nchini. Kulia kwa Mwenyekiti ni Katibu wa Baraza hilo ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga. Mkutano huo ambao unaenda sambamba na Maadhimisho ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kijana akamatwa kwa mauaji London

Kijana mwenye umri wa miaka 15, amekamatwa na polisi kwa mauaji ya msichana mwenye umri sawa na wake mjini Londn, Uingereza

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani