Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Breaking news : Amani vitambulisho 172 vya mpiga kura vyakamatwa kituoni

https://www.facebook.com/voiceofzanzibar?fref=ts Afisa wa Tume juma chum YADAI watu wafungue kesi ya malalamiko mahakamani Mtu mmoja akamatwa na vitambulisho haramu ambae ni katibu wa CCM wa tawi akivigawa kwa watu tume wanasema wapewe wenyewe wapige kura kisha […]

The post Breaking news : Amani vitambulisho 172 vya mpiga kura vyakamatwa kituoni appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Breaking newzzzz: viungo vya binadamu vyakamatwa dar es salaam leo (kunradhi kwa picha za kuogofya)

 Gari likiwa limebeba mifuko yenye viuongo hivyo, ambapo Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina baada ya kukakamata viungo mbalimbali vinavyodhaniwa kuwa ni vya binadamu katika  mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto sehemu za Mbweni Mpiji, Magohe, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam. Sehemu ya mifuko ya plastiki iliyokutwa na viungo hivyo ambavyo inasemekana ni pamoja na mikono, miguu, ngozi na sehemu nyingine za miili

 

11 years ago

Habarileo

Vitambulisho vya kura kutolewa upya

VITAMBULISHO vya kupiga kura nchini, vitatolewa upya kwa wananchi wote, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuboresha daftari la kudumu la wapigakura. Mchakato huo wa kutoa vitambulisho upya, utakaotekelezwa Septemba mwaka huu, utagharimu Sh bilioni 293 .

 

10 years ago

Mwananchi

Adakwa na vitambulisho zaidi ya 40 vya kura

Mkazi wa Shikombe wilayani Geita, Buhula Ngassa (47) amekamatwa na vitambulisho 43 vya wapiga kura, hata hivyo amedai vilikuwa vya wateja wake waliofika kwake kusajili simu.

 

11 years ago

CloudsFM

VITAMBULISHO VYA KUPIGIA KURA KUTOLEWA UPYA

VITAMBULISHO vya kupiga kura nchini, vitatolewa upya kwa wananchi wote, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuboresha daftari la kudumu la wapigakura. Mchakato huo wa kutoa vitambulisho upya, utakaotekelezwa Septemba mwaka huu, utagharimu Sh bilioni 293 .
Tofauti na vitambulisho vya awali vya karatasi vilivyotolewa kwa mara ya kwanza mwaka 2004, vipya vitakuwa vya plastiki. Vimebadilishwa kutokana na matumizi ya teknolojia mpya katika uandikishaji.

Teknolojia itakayotumika ni ya Biometric Voter...

 

10 years ago

Dewji Blog

CHADEMA kuwashughulikia wanaokusanya vitambulisho vya kura

SAM_0054

Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, akiongea na wanachama na wananchi kwa ujumla kwenye mkutano wa kuwatambulisha watia nia ya kugombea nafasi za ubunge na udiwani katika jimbo la Singida magharibi,mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Puma,tarafa ya Ihanja

SAM_0049

SAM_0030

Baadhi ya watia nia ya udiwani na ubunge katika jimbo la Singida magharibi wakisakata ngoma za asili baada ya kumpokea mgeni rasmi katika mkutano huo.

Na Jumbe Ismailly,Ikungi      

CHAMA...

 

9 years ago

Mwananchi

NEC kuwasaidia waliopoteza vitambulisho vya kupigia kura

Wakati zaidi ya robo tatu ya vifaa vinavyohitajika vikiwa vimewasili nchini, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inaangalia namna ya kuwasaidia waliopoteza vitambulisho vyao kushiriki kupiga kura.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Mradi ‘Vitambulisho vya Kura’ unatia shaka

>Maelezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu mradi wake wa matumizi ya teknolojia mpya ya Biometric Voter Registration (BVR) katika maboresho ya Daftari la Kudumu la Wapigakura yameacha maswali mengi kuliko majibu.

 

10 years ago

Habarileo

NEC: Vitambulisho vya uraia havitatumika kupiga kura

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Julius MallabaTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesisitiza kuwa vitambulisho vya taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), havitatumika kupiga kura katika uchaguzi mkuu, isipokuwa kadi zitakazotolewa na tume hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

NIDA: Vitambulisho vya uraia havitatumika kupiga kura

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Julius MallabaMAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesisitiza vitambulisho vya uraia, havitatumika kupiga kura katika uchaguzi mkuu, isipokuwa kadi zitakazotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani