Bunge la Katiba limemalizika, tumejifunza nini?
Bunge la Katiba limemaliza shughuli zake mjini Dodoma jana kwa kupitisha Rasimu ya Katiba Mpya ambayo, kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, inapaswa kupelekwa kwa wananchi kupigiwa kura ya maoni.Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Jan
Tumejifunza nini Bukoba?
KWA miezi minane mfululizo, gazeti la Tanzania Daima limekuwa linaandika habari za mgogoro wa Manispaa ya Bukoba, mkaoni Kagera, likifichua ufisadi wa Meya na wenzake, na kuunga mkono jitihada za ...
10 years ago
Mwananchi15 Jun
Tumejifunza nini vurugu za Port Said?
Wiki hii ulimwengu wa soka ulishuhudia uamuzi wa tofauti na mazoea, mahakama mjini Port Said huko Misri iliwahukumu kifo watu 11 ambao walitajwa kuhusika na vurugu zilizotokea uUwanjani huko Port Said mwaka 2012 kwenye mchezo wa soka baina ya wenyeji Al-Masry na National Al-Ahli.
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Tumejifunza nini Wiki ya Usalama Barabarani?
Tangu wiki iliyopita, nchi yetu imekuwa katika maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani. Wakati maadhimisho hayo yakifika ukingoni wiki hii, tunadhani ingekuwa vyema kila mwananchi akatafakari kwa kina nini amejifunza kutokana na maadhimisho hayo.
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Tumejifunza nini kutokana na kashfa hizi?
Tanzania imekumbwa na kashfa nyingi kubwa tangu ipate uhuru wake.
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Kanuni zaibua tena mdahalo Bunge la #Katiba, Ukawa wahoji kwa nini zibadilishwe [VIDEO]
Wana-UKAWA hao wamesisitiza kamwe hawatakubali mabadiliko yoyote ya kanuni, isipokuwa yale tu ya vipengele vya 37 and 38 vinavyoelekeza namna ya kupiga kura.
10 years ago
Bongo514 Dec
Tumejifunza nini kwa mwamko huu tulioonesha kwa Idris na Happiness?
Diamond Platnumz, Idris Sultan na Happiness Watimanywa wamesaidia kuonesha wazi nguvu tuliyonayo Tanzania. Kutoka kwenye ushindi wa tuzo tatu za Channel O uliompa Diamond sifa nyingine kwenye CV yake hadi kwenye ushindi wa pili wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa uliompa utajiri wa zaidi ya shilingi milioni 514 mpiga picha Idris Sultan na […]
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Yakhe wakimbia nini? Mjumbe Bunge la #Katiba adai Wazanzibari wakiitosa Bara watakosa makazi [VIDEO]
Hoja mpya kuhusu mustakabali wa Muungano yaibuka leo katika Bunge Maalum la Katiba linaloendelea mjini hapa.
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa. Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania