Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumejifunza nini kutokana na kashfa hizi?

Tanzania imekumbwa na kashfa nyingi kubwa tangu ipate uhuru wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Tumejifunza kutokana na makosa, haturudii

Kwa muda mrefu, Chama cha Wananchi (CUF) kimekuwa ni kinara miongoni mwa vyama vya upinzani, lakini katika uchaguzi wa mwaka 2010 chama hicho kilikuwa nyuma ya Chama cha |Demokrasia na Maendeleo (Chadema), hali inayokifanya kionekane kwamba kimepoteza nguvu.

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA TUMEJIFUNZA MENGI KUTOKANA NA SAKATA LA ESCROW

Zitto Kabwe. MWANDISHI  Eric Shigongo
MUNGU ni mwema ndiyo maana leo tupo salama na tunapumua tukiwa na afya njema, kwa wale wanaoumwa nawaombea kwake wapate afya njema ili warejee waweze kumtumikia na kumhimidi daima. Baada ya kusema hayo nianze kwa kusema kuwa suala la pesa za umma zilizokuwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow limekuwa gumzo kubwa nchini kwa muda mrefu sasa. Ukaguzi maalum uliofanywa na Mkaguzi Mkuu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tumejifunza nini Bukoba?

KWA miezi minane mfululizo, gazeti la Tanzania Daima limekuwa linaandika habari za mgogoro wa Manispaa ya Bukoba, mkaoni Kagera, likifichua ufisadi wa Meya na wenzake, na kuunga mkono jitihada za ...

 

10 years ago

Mwananchi

Tumejifunza nini vurugu za Port Said?

Wiki hii ulimwengu wa soka ulishuhudia uamuzi wa tofauti na mazoea, mahakama mjini Port Said huko Misri iliwahukumu kifo watu 11 ambao walitajwa kuhusika na vurugu zilizotokea uUwanjani huko Port Said mwaka 2012 kwenye mchezo wa soka baina ya wenyeji Al-Masry na National Al-Ahli.

 

10 years ago

Mwananchi

Tumejifunza nini Wiki ya Usalama Barabarani?

Tangu wiki iliyopita, nchi yetu imekuwa katika maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani. Wakati maadhimisho hayo yakifika ukingoni wiki hii, tunadhani ingekuwa vyema kila mwananchi akatafakari kwa kina nini amejifunza kutokana na maadhimisho hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba limemalizika, tumejifunza nini?

Bunge la Katiba limemaliza shughuli zake mjini Dodoma jana kwa kupitisha Rasimu ya Katiba Mpya ambayo, kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, inapaswa kupelekwa kwa wananchi kupigiwa kura ya maoni. 

 

10 years ago

Vijimambo

Nyaraka Hizi Hapa: Kashfa ya Richmond


Naomba wachangiaji msome barua ya katibu mkuu wizara ya madini kwa umakini mkubwa.Katibu alipewa mamlaka ya kuingia mkataba na RICHMOND baada ya baraza la mawaziri kuridhia mapendekezo kutoka kamati ya serikali ya majadiliano (GNT).Credit:Kengete blog




 

10 years ago

Bongo5

Tumejifunza nini kwa mwamko huu tulioonesha kwa Idris na Happiness?

Diamond Platnumz, Idris Sultan na Happiness Watimanywa wamesaidia kuonesha wazi nguvu tuliyonayo Tanzania. Kutoka kwenye ushindi wa tuzo tatu za Channel O uliompa Diamond sifa nyingine kwenye CV yake hadi kwenye ushindi wa pili wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa uliompa utajiri wa zaidi ya shilingi milioni 514 mpiga picha Idris Sultan na […]

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Kashfa hizi kwa Serikali sasa basi

>Jana katika tovuti hii tulitoa habari iliyowakariri viongozi wa dini wakionyesha kukerwa na vitendo vya ufisadi, wizi, uzembe ikiwamo kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani