Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA TUMEJIFUNZA MENGI KUTOKANA NA SAKATA LA ESCROW

Zitto Kabwe. MWANDISHI  Eric Shigongo
MUNGU ni mwema ndiyo maana leo tupo salama na tunapumua tukiwa na afya njema, kwa wale wanaoumwa nawaombea kwake wapate afya njema ili warejee waweze kumtumikia na kumhimidi daima. Baada ya kusema hayo nianze kwa kusema kuwa suala la pesa za umma zilizokuwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow limekuwa gumzo kubwa nchini kwa muda mrefu sasa. Ukaguzi maalum uliofanywa na Mkaguzi Mkuu wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Tumejifunza kutokana na makosa, haturudii

Kwa muda mrefu, Chama cha Wananchi (CUF) kimekuwa ni kinara miongoni mwa vyama vya upinzani, lakini katika uchaguzi wa mwaka 2010 chama hicho kilikuwa nyuma ya Chama cha |Demokrasia na Maendeleo (Chadema), hali inayokifanya kionekane kwamba kimepoteza nguvu.

 

10 years ago

Mwananchi

Tumejifunza nini kutokana na kashfa hizi?

Tanzania imekumbwa na kashfa nyingi kubwa tangu ipate uhuru wake.

 

5 years ago

Michuzi

MAKATIBU WAKUU : ZIARA HII NI YA KIPEKEE, TUMEJIFUNZA MENGI

 Makatibu wakuu na naibu katibu wakuu wakiingia katika treni ya majaribio mara ya kuacha magari katika ziara ya simu mbili ya makatibu hao. Makatibu wakiwa katika Treni ya majaribio kujionea starehe watakayoipata mara baada ya kukamilika mradi wa reli ya kisasa utakapo kamilika. Moja ya picha ya gari lilokowa likitembea katika barabara inayotumika katika ujenzi wa reli ya kisasa ikiwa imepigwa na mpiga picha akiwa kwenye Treni ya majaribio. Muonekano wa Treni ya majaribio kwa ndani wakiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

KUTOKANA NA SAKATA LA MAAFANDE WALIONYESHANA UPENDO WAKIWA NA SALE ZA JITIRIRISHE NA HIZI PICHA.


Baada ya wapendanao hawa kufukuzwa kazi, Jitiririshe na picha hizi Kati ya hawa maaskari wetu nchini yupi alitakiwa kufukuzwa?????

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata la Escrow

Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow bado inafukuta nchini Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata la Escrow baadhi mahakamani

Chama tawala nchini Tanzania CCM, kimetoa kauli ya kuwachukulia hatua, makada wake wanaohusishwa na kashfa ya Escrow.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda afunguka sakata la Escrow

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema taarifa nyingi za mjadala wa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ambao unaendelea bungeni, umeongezwa chumvi na wakati ukifika Watanzania watatolewa taarifa kamili.

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WAZUNGUMZIA SAKATA LA ESCROW

Wananchi wakiwa wamejazana katika maeneo tofauti ya kuuzia magazeti ili kujua kilichotokea na kitakachotokea kuhusiana na wizi wa shilingi bilioni 306 za Escrow kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). BAADA ya ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kusomwa jana Bungeni, mtandao huu wa Global leo umezunguka sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam, kuona… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani