Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge laingilia kati suala la UDA

Wakati mjadala kuhusu umiliki wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ukiendelea kuwa tata, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemwita Msajili wa Hazina na mwendeshaji wa shirika hilo ili kujadili suala hilo na kumaliza mgogoro wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Jeshi laingilia kati vurugu Afrika Kusini

Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma.KATIKA kuhakikisha vurugu dhidi ya raia wa kigeni zinakomeshwa nchini hapa, Serikali imetangaza kuwa, jeshi sasa litatumika kudhibiti ghasia zilizosababisha vifo vya watu saba, huku zaidi ya 5,000 wakitajwa kuyaacha makazi yao na kwenda kuishi katika kambi maalumu ili kuokoa maisha yao.

 

10 years ago

Mwananchi

MOYO UNADUNDA: Wanaume waingilie kati suala la ukeketaji na kujichubua

>Tunakaribia tarehe ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Najua tutakuwa na kauli mbiu itakayotolewa kwa ajili ya adhimisho hilo. Sijui kaulimbiu hiyo itakuwa na maneno gani; lakini nina uhakika yatazungumziwa mambo ambayo bado yanaleta maumivu kwa wanawake katika jamii zetu.

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba aibukia ofisi za CUF, ataka JK aingilie kati suala za ZEC

Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuiamuru Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar  (ZEC ) kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa uliofanyika Zanzibar ili kuipusha nchi kuingia katika machafuko.

 

11 years ago

Mwananchi

Oluoch: Bunge lianze na suala la muundo wa Muungano

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Ezekiah Olouch amewasilisha kwa Katibu wa Bunge, hoja ya kutaka, Bunge lianze kujadili hoja ya Muundo wa Muungano kabla ya mambo mengine ili kupata mwafaka.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema wataka JK aingilie kati Bunge la Katiba

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais Jakaya Kikwete, kuingilia kati na kukemea vitendo vya kuingiliwa kwa uhuru wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba katika kufanya uamuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kipipa Millers: Kinara kati ya kampuni 100 za kati nchini

Kwa mara ya pili mfululizo kampuni ya Kipipa Millers Limited imeendelea kushika nafasi ya kwanza kati ya kampuni 100 zenye mitaji ya kati zilizofanyiwa utafiti nchini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uhusiano kati ya Korea Kusini na Kaskazini: Nini chanzo cha Uhasama uliopo kati ya mataifa haya

Miezi ya hivi karibuni , kumekuwa na uvumi kuhusu hali ya uchumi na afya kutokana na virusi vya corona, licha ya kwamba Korea Kaskazini ilithibitisha kuwa hakuna maambukizi ya corona.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AINGILIA KATI MGOGORO SUGU WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA MWENKEZAJI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ameingilia kati Mgogoro wa ardhi uliokuwa ukifukuta kwa muda mrefu katika kijiji cha Mawenzusi,wilaya ya Sumbawanga mjini.Mgogoro huo uliohusu Wananchi na anayedaiwa kuwa Mwekezaji inaelezwa kuwa maamuzi yalikwishatolewa na Mh.Rais Jakaya Kikwete,kuwa Wananchi wapewe kipao mbele na Mwekezaji apewe kiasi,lakini mpaka sasa hakuna lililotekelezwa kufuatia Watendaji waliokuwa wamepewa dhamana ya kulisimamia jambo hilo kusua sua na hatimaye kutopatiwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Raza aibukia suala la Escrow

Na Patricia Kimelemeta

MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi na Mbunge wa Uzini, Zanzibar, Mohamed Raza, amesema ataishauri Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUKI), kuwaandikia barua wahisani ili kuwaeleza namna sakata la Tegeta Escrow lisivyowahusu Wazanzibari.
Alisema amefikia uamuzi huo ili kushawishi wahisani waendelee kutoa misaada yao kama kawaida.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Raza alisema sakata hilo limewaathiri wananchi wa Zanzibar kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani