Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge Maalumu siyo mhimili wa Dola

Wakati huu ambao Bunge Maalumu la Katiba limeingia katika awamu ya pili ya kujadili na hatimaye kupitisha Rasimu ya Katiba mpya, tulitarajia kwamba wajumbe wake, wakiwamo viongozi wa Bunge hilo wangekuwa tayari wamepata uelewa wa kutosha kuhusu dhana ya Bunge Maalumu la Katiba. 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MHIMILI: Bunge limegeuka kijiwe, limepotea njia

>Mkutano wa Bunge unaoendelea Dodoma na ambao kwa kiasi kikubwa unatarajiwa kujadili mipango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara mbalimbali, kwa wengi umechusha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge Maalumu vuluvulu

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameendelea kuvutana juu ya kutumika kwa kura ya wazi au ya siri katika maamuzi watakayoyafanya wakati wa kupitia rasimu ya Katiba mpya. Mvutano huo...

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba: Kazi ya Bunge la Katiba siyo kubadili Rasimu

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema litakuwa jambo lisilo la kawaida kwa Bunge Maalumu la Katiba kubadili hoja ya msingi iliyopo kwenye Rasimu ya Katiba, akisisitiza kuwa jukumu lake ni kuifanyia marekebisho.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiswahili fasaha kitumike Bunge la Katiba, siyo ‘Kiswanglish’

Hivi karibuni Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba (jina limehifadhiwa) aliwahi kuhojiwa na mwandishi wa makala haya kuhusu matarajio ya Watanzania kuhusu Katiba Mpya na matumizi ya Kiswahili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge Maalumu liwakilishe Watanzania

WIKI hii Rais Jakaya Kikwete alizungumza na Baraza la Vyama vya Siasa pamoja na viongozi mbalimbali wa kisiasa na kidini walioalikwa katika mkutano huo maalumu. Rais Kikwete alitumia nafasi hiyo...

 

11 years ago

Habarileo

Kanuni Bunge Maalumu zapita

HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba, limepitisha rasimu ya Kanuni zitakazotumika kuongoza majadiliano, pamoja na vifungu ambavyo havikutaja aina ya upigaji kura kama utakuwa wa wazi au wa siri. Hata hivyo, wakati Bunge likipitisha azimio hilo, baadhi ya wajumbe wamelaani kitendo cha Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu, Pandu Ameir Kificho, kuridhia kupitishwa kwa ‘kanuni nusu’ za Bunge kwa maelezo kuwa jambo hilo halitaleta muafaka.

 

11 years ago

Habarileo

Makatibu Bunge Maalumu waapishwa

YAHYA Hamis Hamad kutoka Zanzibar ndiye Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba. Katibu huyo jana aliapishwa na Rais Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo huku akiahidi kufanya kazi yake kwa weledi mkubwa na kwa kufuata kanuni za Bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Lipualipua Kamati za Bunge Maalumu

>Kamati za Bunge Maalumu la Katiba zilizoanza vikao vyake juzi mjini Dodoma, zimejikuta zikifanya kazi kwa kulipua kutokana na uchache wa muda uliotengwa, ikilinganishwa na ukubwa wa kazi ya uchambuzi wa ibara za rasimu ya Katiba hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgogoro Bunge Maalumu la Katiba

>Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kukutana tena na viongozi wa vyama vya siasa ambavyo ni wanachama wa Kituo cha Demokrasia nchini (TCD), kuna taarifa kwamba huenda Oktoba 4, mwaka huu ikawa siku ya mwisho ya kukutana kwa Bunge Maalumu, linaloendelea na utunzi wa Katiba Mpya mjini Dodoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani