Bungei:''Nusura pombe iniue''
Wilfred Bungei ni mwanariadha wa Kenya aliyeshinda medali ya dhahabu katika michezo ya Olimpiki lakini nusura ulevi umuue
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Aliyekuwa Bingwa wa Olimpiki Wilfred Bungei asema kushinda kwake vita ya unywaji wa pombe kupindukia kutatoa mwanga wa matumaini kwa wengine
Wilfred Bungei wa Kenya, Bingwa wa Olimpiki wa mbio za mita 800, Beijing, asimulia namna alivyopigana na unywaji wa pombe kupindukia.
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-TI4uM2ffQhZz03yUMJmMG83kYq2UxAbhMn4NI6*jrKkDb5L*tzinvAbL9I4d8*HKUS*Gft7KAYEqHEqi3ZO4xr6eafjjW8T/mrembo.jpg?width=650)
MREMBO NUSURA ABAKWE
Mrembo aliyevaa kivazi cha ajabu kilichoacha wazi sehemu zake nyeti akisaidiwa na wasamaria wema baada ya kuvaa khanga. Stori:Â Issa Mnally na Richard Bukos
MREMBO wa haja ambaye jina halikupatikana amenusurika kubakwa na wanaume baada ya kuvaa kivazi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake nyeti.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oj4MhhoM4fRmHK4RfZkmN4BxCouCYkpaO-OV4leUSbREhKJboJW7t5GIqUeUJP8v-UY9I22BISlSIQHpzRBo00XVjrx5ZlFL/hausegirl.jpg)
HAUSIGELI NUSURA AUAWE
Makongoro Oging’ na Shani Ramadhan
Msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli), Rehema Ally (17), mkazi wa Yombo, Machimbo Mwisho, Ilala jijini Dar, amechanwachanwa kwa wembe na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyosababisha alazwe katika Hospitali ya Amana kwa matibabu. Rehema Ally akiwa na majeraha mwilini mwake baada ya kujeruhiwa. Akizungumza na Uwazi nyumbani kwa mwajiri wake aliyejulikana kwa jina moja la...
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Ukawa nusura ‘wamchenjie’ Mbowe
Wajumbe wa Mkutano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), juzi nusura wamgeuzie kibao mwenyekiti wao, Freeman Mbowe baada ya kuchelewa kufika kwenye mkutano ulioandaliwa ikiwa ni siku moja baada ya kususia kikao cha Bunge la Katiba.
9 years ago
Mwananchi15 Aug
Nyota Yanga nusura wazichape
Mazoezi magumu ya kocha Hans Pluijm nusura yawatokee puani mshambuliaji raia wa Mzimbabwe, Donald Ngoma na beki Juma Abdul ambao nusura wazichape kavu kavu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3wbVtrmvcpD56TY4KRztRErYs2yCTXBdiJKsF0FzQQ71fEXtAXStFJLlCKlE3RvrWpwPQuYbffEOoEZGuLuHI9i/FRONTJUMAMOSI90.jpg?width=650)
DIAMOND NUSURA ACHOMWE KISU!
STORI: MUSA MATEJA, GLADNESS MALLYA NA HAMIDA HASSAN. Licha ya kuiletea sifa kubwa Tanzania kwa kutwaa tuzo tatu za Channel O, mkali anayekimbiza katika anga la muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amenusurika kuchomwa kisu baada ya kushuka kwenye gari na kujichanganya na mashabiki wake. Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ akisndikizwa na mashabiki wake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx20EeINjP9z0fIAM8XlyosYUU7br-tAetKDWqwtLwUdhcoGDLZVcD0rcbYNJfeomePKtBz5uyCMNMoC5z*Gfnmy9/GFFHGH.jpg?width=650)
SHOO YA J.LO NUSURA IONDOKE NA WAZIRI
Mwamamuziki, Jennifer Lopez ‘J.Lo akitumbuiza pamoja na dancers wake.
Rabat, Morocco
WAZIRI wa Mawasiliano wa Morocco, Mustapha Khalfi, amejikuta katika wakati mgumu kufuatia kufanyika kwa shoo ya mwamamuziki, Jennifer Lopez ‘J.Lo, ambaye alivaa mavazi yaliyoacha nje asilimia kubwa ya maungo yake pamoja na dancers wake. Shoo hiyo ilifanyika Mei 29, mwaka huu katika Tamasha la Mawazine lililofanyika huko Rabat na...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/MIRATHI-5-001.jpg?width=650)
MIRATHI NUSURA IMTOE ROHO!
Masanga Said Bori, anayevuja damu. Boniphace Ngumije na Mayasa Mariwata BALAA! Mkazi wa Mtaa wa Manyoni, Ilala jijini Dar aliyejulikana kwa jina la Masanga Said Bori (pichani), Jumamosi iliyopita nusura atolewe uhai akitetea mirathi ya nyumba iliyoachwa na shangazi yake, Mwanafatima binti Mchinga akiwa na ndugu zake, Panya Bori, Mchinga Bori, Mwanafatima Bori na Zaujiha Bori. Kwa mujibu wa chanzo, nyumba hiyo namba 27/1 yenye...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania