Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CAG ajikanyaga mbele ya kamati

OFISI ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), jana ilijikuta ikipata kigugumizi cha kutaja jina la chama cha siasa ambacho hakijakamilika kufanyiwa ukaguzi kutokana na sababu alizozitaja kuwa ni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ripoti za CAG, Kamati kuwang’oa mawaziri?

Kuna kila dalili kuwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na zile za Kamati za Bunge zinazosimamia fedha za umma, huenda zikawang’oa baadhi ya mawaziri

 

10 years ago

Mwananchi

Vigogo Takukuru, TRA, CAG ‘kikaangoni’ Kamati ya Zitto

>Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) leo inaanza kuwahoji watu mbalimbali waliohusika katika uchunguzi au tuhuma za kashfa ya IPTL kuhusu uchotaji wa Sh306 bilioni katika akaunti ya Escrow iliyoko katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

Vijimambo

Kigogo mwingine ajikanyaga Escrow.

Mkurugenzi Mdhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Dk. James Benedict Diu (pichani), amekiri kupokea mgawo wa zaidi ya Sh. milioni 80.8 kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited, James Rugemalira, huku akitoa maelezo yanayokinzana kuhusu sababu za kupewa fedha hizo pamoja na matumizi yake.

Fedha hizo, ambazo anadaiwa kuingiziwa na Rugemalira katika akaunti yake iliyofunguliwa katika Benki ya Biashara ya Mkombozi tawi la St. Joseph, jijini...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAJADILI HESABU ZA MWAKA WA FEDHA WA 31 DESEMBA, 2012 BAADA YA RIPOTI YA CAG, KWA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC)

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Zitto Kabwe akiongoza kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
Mbunge wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Ismail Rage akichangia mada wakati wa kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya...

 

5 years ago

Bongo5

Juventus na Monaco mbele kwa mbele UEFA, Barca na Dortmund nje

Timu za Juventus na Monaco zimefanikiwa kufuzu katika hatua ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya (Uefa) usiku wa Jumatano huku zikiungana na Real Madrid na Atletico Madrid ambazo zilifuzu katika hatua hiyo siku ya Jumanne.

Juventus imefanikiwa kuingia katika hatua hiyo kwa kuitoa Barcelona ya Hispania kwa jumla ya mabao 3-0 ambayo walishinda katika mchezo wao wa kwanza wiki iliyopita huku katika mchezo wa jana wakitoka sare ya 0-0.

Nao Monaco wametinga hatua hiyo kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!

SIMBaaaaaKikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.

Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Ukawa sasa ni mbele kwa mbele

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kamwe hautarudi nyuma katika makubaliano yaliyofikiwa juzi, likiwamo la kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi mbalimbali za uongozi.

 

9 years ago

GPL

SHABIB: CCM GAIRO MBELE KWA MBELE

Mgombea Ubunge wa jimbo la Gairo kwa tiketi ya CCM, Ahmed Shabiby. “Nimeamua kugombea tena ubunge kwa sababu najua wananchi wa Gairo wananihitaji, mafanikio makubwa niliyowaletea katika kipindi chote nilichokuwa mbunge yamewafurahisha na wanaamini kwamba mimi ndiye mkombozi wao. “Kwa kipindi chote nilichokuwa madarakani nimeshafanya mambo mengi ya kuwasaidia wananchi na wao ni mashahidi wa hilo ndiyo maana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani