CAG ambwaga Amani
MAHAKAMA Kuu kanda ya Bukoba, imetupilia mbali kesi namba moja ya mwaka 2014, iliyofunguliwa na aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani dhidi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-RrFGNz-ur0U%2FUtkLAJUECyI%2FAAAAAAAAS3A%2FHxC2LngRyEQ%2Fs1600%2F1AAAA.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
TASWIRA ZA KIKAO CHA RIPOTI YA CAG KILICHOPELEKEA MEYA WA BUKOBA ANATORY AMANI KUJIUZULU
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani
Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani
Mwandishi Wetu
9 years ago
BBCSwahili19 Oct
Djokovic ambwaga Jo-Tsonga,Tenis
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Dk. Chegeni ambwaga Waziri Kamani
NA JOHN MADUHU, MWANZA
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Raphael Chageni, amembwaga Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani katika kura za maoni za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kwenye Jimbo la Busega mkoani Simiyu.
Hatua ya kushindwa kwa Dk. Kamani, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Simiyu, imemfanya aungane na mawaziri na manaibu waziri wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete walioangukia pua katika mbio za kusaka kurejea katika...
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
Andy Murray ambwaga David Ferre
10 years ago
BBCSwahili26 Jan
Andy Murray ambwaga Grigor Dimitrov
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Novak Djokovic ambwaga Roger Federer.
9 years ago
Mwananchi16 Aug
Hatimaye Dk Chegeni ambwaga Dk Kamani Busega
10 years ago
StarTV20 Oct
Andy Murray ambwaga David Ferre
Mchezaji Tennis Andy Murray amembwaga David Ferrer katika mashindano ya wazi ya Vienna kwa seti 5-7 6-2 7-5.
Kwa ushindi huo Andy Murray anasonga mbele katika mashindano hayo kwaajili ya kufuzu kuingia katika fainali za dunia.
Murray mwenye umri wa miaka 27 hii inakuwa mara tatu kumshinda mpinzani wake huyo katika hatua ya kuwania fainal.
Hata hivyo Murray muda mfupi baada ya mchezo huyo aliiambia BBC Radio 5 kwamba alikuwa amemaliza wiki yake vizuri katika mchezo huo...