Novak Djokovic ambwaga Roger Federer.
Mchezaji Tenisi namba moja Duniani kutoka Serbia, Novak Djokovic amemaliza msimu wake kwa ushindi dhidi ya Roger Federer.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Nov
Novak Djokovic amshinda Roger Federer katika mashindano ya ATP

Mchezaji tenisi namba moja Duniani kutoka Serbia, Novak Djokovic amemaliza msimu wake vizuri kwa ushindi dhidi ya Roger Federer.
Ameweka rekodi ya taji la nne mfululizo la mashindano ya ATP.
Djokovic alifanikiwa kushinda kwa seti 6-3, 6-4 katika dakika 80 za mchezo huko London, na aliweza kusahihisha makosa yake baada ya mechi ya mwanzo ya makundi kufungwa na Roger Federer.
Mpaka sasa Djokovic anamaliza mwaka huu kwa kushinda mataji 11 yakiwemo ya matatu ya Gland slam, na kwa upande wake...
10 years ago
BBCSwahili25 May
Roger Federer akosoa ulinzi Uwanjani
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Rafael Nadal,Roger Federer washinda
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Roger Federer aanza vyema katika Tennesi
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Roger Federer kucheza na Martina Hingis Rio
10 years ago
BBCSwahili01 May
Novak Djokovic ajitoa michuano ya Madrid
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Serena,Novak Djokovic kidedea Melbourne.
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Novak Djokovic atwaa taji la Paris Masters
PARIS, UFARANSA
NYOTA wa mchezo wa tenisi nchini Serbia, Novak Djokovic, amefanikiwa kutwaa taji la michuano ya Paris Masters baada ya kumshinda mpinzani wake, Andy Murray, katika fainali iliyochezwa juzi jijini Paris, nchini Ufaransa.
Nyota huyo namba moja kwa ubora wa mchezo huo duniani, alimshinda mpinzani wake kwa seti 6-2, 6-4 na kufanikiwa kutwaa taji hilo na kumfanya azidi kuweka rekodi mbalimbali.
Djokovic amekuwa mchezaji wa kwanza kuweza kushinda mara sita kwa mwaka michuano ya ATP...
10 years ago
BBCSwahili19 Oct
Djokovic ambwaga Jo-Tsonga,Tenis