Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serena,Novak Djokovic kidedea Melbourne.

Serena Williams na Novak Djokovic waingia raundi ya Tatu ya michuano ya Melbourne

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Novak Djokovic ambwaga Roger Federer.

Mchezaji Tenisi namba moja Duniani kutoka Serbia, Novak Djokovic amemaliza msimu wake kwa ushindi dhidi ya Roger Federer.

 

10 years ago

BBCSwahili

Novak Djokovic ajitoa michuano ya Madrid

Nyota wa mchezo wa tenesi Novak Djokovic amejiondoa kushiriki michuano ya wazi ya madrid .

 

9 years ago

Mtanzania

Novak Djokovic atwaa taji la Paris Masters

djokovicPARIS, UFARANSA

NYOTA wa mchezo wa tenisi nchini Serbia, Novak Djokovic, amefanikiwa kutwaa taji la michuano ya Paris Masters baada ya kumshinda mpinzani wake, Andy Murray, katika fainali iliyochezwa juzi jijini Paris, nchini Ufaransa.

Nyota huyo namba moja kwa ubora wa mchezo huo duniani, alimshinda mpinzani wake kwa seti 6-2, 6-4 na kufanikiwa kutwaa taji hilo na kumfanya azidi kuweka rekodi mbalimbali.

Djokovic amekuwa mchezaji wa kwanza kuweza kushinda mara sita kwa mwaka michuano ya ATP...

 

5 years ago

BBCSwahili

Corona: Novak Djokovic niwakulaumiwa kwa kuandaa mashindano ?

Mcheza tenisi namba moja nchini Engalnd Dan Evans anasema Novak Djokovic anapaswa kulaumiwa baada ya wenzake kupata maambuziki ya Covid19.

 

9 years ago

Bongo5

Novak Djokovic amshinda Roger Federer katika mashindano ya ATP

2EB5499A00000578-0-image-a-7_1448233966202

Mchezaji tenisi namba moja Duniani kutoka Serbia, Novak Djokovic amemaliza msimu wake vizuri kwa ushindi dhidi ya Roger Federer.

2EB463EA00000578-3329545-image-a-47_1448222732205

Ameweka rekodi ya taji la nne mfululizo la mashindano ya ATP.

Djokovic alifanikiwa kushinda kwa seti 6-3, 6-4 katika dakika 80 za mchezo huko London, na aliweza kusahihisha makosa yake baada ya mechi ya mwanzo ya makundi kufungwa na Roger Federer.

Mpaka sasa Djokovic anamaliza mwaka huu kwa kushinda mataji 11 yakiwemo ya matatu ya Gland slam, na kwa upande wake...

 

9 years ago

TheCitizen

Djokovic and Serena roll at the US Open

Serena was a 6-0, 2-0 winner after only 30min

 

10 years ago

BBCSwahili

Djokovic; Serena watinga nusu fainali.

Novak Djokovic na Serena William wametinga nusu fainali ya michuano ya tennis ya US Open

 

10 years ago

BBCSwahili

Watson, Ward, Edmund watupwa Melbourne

Wachezaji tenesi Heather Watson, James Ward na Kyle Edmund wamepoteza michezo

 

11 years ago

Michuzi

"Selfies" toka Mkutano wa UKIMWI, Melbourne, Australia

Mbunge wa Kigamboni na Mwakilishi wa Bara la Afrika katika Taasisi ya Kimataifa ya UKIMWI duniani (International AIDS Society), Dkt Faustine Ndugulile (MB) akipiga picha ya "Selfie" na Bibi Hellen Clarke, Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya UNDP na Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand baada ya kikao cha pamoja cha Wabunge wa mabara mbalimbali kilichofanyika tarehe 21.07.2014 huko Melbourne, Australia. Dkt Ndugulile MB akipiga picha ya "selfie" na mkurugenzi mkuu wa UNAIDS, Dkt Michel Sidibe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani