Novak Djokovic atwaa taji la Paris Masters
PARIS, UFARANSA
NYOTA wa mchezo wa tenisi nchini Serbia, Novak Djokovic, amefanikiwa kutwaa taji la michuano ya Paris Masters baada ya kumshinda mpinzani wake, Andy Murray, katika fainali iliyochezwa juzi jijini Paris, nchini Ufaransa.
Nyota huyo namba moja kwa ubora wa mchezo huo duniani, alimshinda mpinzani wake kwa seti 6-2, 6-4 na kufanikiwa kutwaa taji hilo na kumfanya azidi kuweka rekodi mbalimbali.
Djokovic amekuwa mchezaji wa kwanza kuweza kushinda mara sita kwa mwaka michuano ya ATP...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Novat Djokovic atwaa taji
10 years ago
BBCSwahili01 May
Novak Djokovic ajitoa michuano ya Madrid
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Novak Djokovic ambwaga Roger Federer.
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Serena,Novak Djokovic kidedea Melbourne.
5 years ago
BBCSwahili23 Jun
Corona: Novak Djokovic niwakulaumiwa kwa kuandaa mashindano ?
9 years ago
Bongo523 Nov
Novak Djokovic amshinda Roger Federer katika mashindano ya ATP
![2EB5499A00000578-0-image-a-7_1448233966202](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2EB5499A00000578-0-image-a-7_1448233966202-300x194.jpg)
Mchezaji tenisi namba moja Duniani kutoka Serbia, Novak Djokovic amemaliza msimu wake vizuri kwa ushindi dhidi ya Roger Federer.
Ameweka rekodi ya taji la nne mfululizo la mashindano ya ATP.
Djokovic alifanikiwa kushinda kwa seti 6-3, 6-4 katika dakika 80 za mchezo huko London, na aliweza kusahihisha makosa yake baada ya mechi ya mwanzo ya makundi kufungwa na Roger Federer.
Mpaka sasa Djokovic anamaliza mwaka huu kwa kushinda mataji 11 yakiwemo ya matatu ya Gland slam, na kwa upande wake...
9 years ago
Habarileo09 Nov
Samatta atwaa taji Afrika
MTANZANIA Mbwana Samatta jana aliisaidia timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutwaa taji lake la tano la Ligi ya Mabingwa wa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya USM Alger ya Algeria, katika mchezo wa pili wa fainali wa mashindano hayo.
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
Hamilton atwaa taji la tatu
11 years ago
GPLAMINA SALIM ATWAA TAJI LA MISS MBAGALA 2014