Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samatta atwaa taji Afrika

MTANZANIA Mbwana Samatta jana aliisaidia timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutwaa taji lake la tano la Ligi ya Mabingwa wa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya USM Alger ya Algeria, katika mchezo wa pili wa fainali wa mashindano hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Hamilton atwaa taji la tatu

Lewis Hamilton ameendelea kung'ara msimu huu baada ya kutwaa taji katika michuano ya United States Grand Prix,

 

10 years ago

BBCSwahili

Novat Djokovic atwaa taji

Mserbia Novak Djokovic ameshinda taji la Wimbledon baada ya kumfunga mpinzani wake wa mara zote Roger Federer.

 

9 years ago

Mtanzania

Novak Djokovic atwaa taji la Paris Masters

djokovicPARIS, UFARANSA

NYOTA wa mchezo wa tenisi nchini Serbia, Novak Djokovic, amefanikiwa kutwaa taji la michuano ya Paris Masters baada ya kumshinda mpinzani wake, Andy Murray, katika fainali iliyochezwa juzi jijini Paris, nchini Ufaransa.

Nyota huyo namba moja kwa ubora wa mchezo huo duniani, alimshinda mpinzani wake kwa seti 6-2, 6-4 na kufanikiwa kutwaa taji hilo na kumfanya azidi kuweka rekodi mbalimbali.

Djokovic amekuwa mchezaji wa kwanza kuweza kushinda mara sita kwa mwaka michuano ya ATP...

 

11 years ago

GPL

AMINA SALIM ATWAA TAJI LA MISS MBAGALA 2014

Miss Mbagala 2014, Amina Salim akipokea zawadi baada ya kutwaa taji hilo. Miss Mbagala 2014 akikabidhiwa zawadi ya DSTV.
Majaji wakiwa…

 

11 years ago

Michuzi

AMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA MISS TABATA 2014

Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa  rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata. Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo,  Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .   Miss Tabata...

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk baada ya kutangazwa mshindi. MREMBO Sitti Mtemvu kutoka Temeke ametwaa taji la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia kitita cha milioni 18 usiku huu katika…

 

9 years ago

Mtanzania

Pia atwaa taji la Miss Universe kwa utata

piaLOS VEGAS, MAREKANI MREMBO kutoka nchini Ufilipino, Pia Wurtzbach, amefanikiwa kutwaa taji la Miss Universe Pageant, baada ya kumshinda mpinzani wake kutoka nchini Colombia, Ariadna Arevalo, kwa utatanishi. Katika hafla hiyo ambayo ilifanyika kwenye ukumbi wa Planet Hollywood Resort, nchini Marekani, iliwaacha watu midomo wazi baada ya mtangazaji, Steve Harvey, kufanya makosa wakati wa kumtangaza mshindi wa taji hilo. Harvey alijikuta akilitaja jina la mrembo kutoka nchini Colombia, Ariadna...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ambasia Maliy atwaa taji la Redd’s Miss Tabata 2014

Redd’s Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa  rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.

1

Redd’s Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da’west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo,  Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .

23

 

11 years ago

Bongo5

Mrembo wa Ethiopia atwaa taji la Miss Africa USA 2014

Mrembo aliyezaliwa Ethiopia, Meron Wudneh ameshinda taji la Miss Africa USA 2014. Meron, aliyewashinda warembo wengine 20, akiwemo wa Tanzania, ni mrembo wa kwanza kutoka nchi hiyo kushinda tangu lianzishwe miaka tisa iliyopia. Mwaka jana taji hilo lilienda kwa Kathy Onmu kutoka Nigeria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani