Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Corona: Novak Djokovic niwakulaumiwa kwa kuandaa mashindano ?

Mcheza tenisi namba moja nchini Engalnd Dan Evans anasema Novak Djokovic anapaswa kulaumiwa baada ya wenzake kupata maambuziki ya Covid19.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Novak Djokovic amshinda Roger Federer katika mashindano ya ATP

2EB5499A00000578-0-image-a-7_1448233966202

Mchezaji tenisi namba moja Duniani kutoka Serbia, Novak Djokovic amemaliza msimu wake vizuri kwa ushindi dhidi ya Roger Federer.

2EB463EA00000578-3329545-image-a-47_1448222732205

Ameweka rekodi ya taji la nne mfululizo la mashindano ya ATP.

Djokovic alifanikiwa kushinda kwa seti 6-3, 6-4 katika dakika 80 za mchezo huko London, na aliweza kusahihisha makosa yake baada ya mechi ya mwanzo ya makundi kufungwa na Roger Federer.

Mpaka sasa Djokovic anamaliza mwaka huu kwa kushinda mataji 11 yakiwemo ya matatu ya Gland slam, na kwa upande wake...

 

9 years ago

BBCSwahili

Novak Djokovic ambwaga Roger Federer.

Mchezaji Tenisi namba moja Duniani kutoka Serbia, Novak Djokovic amemaliza msimu wake kwa ushindi dhidi ya Roger Federer.

 

10 years ago

BBCSwahili

Serena,Novak Djokovic kidedea Melbourne.

Serena Williams na Novak Djokovic waingia raundi ya Tatu ya michuano ya Melbourne

 

10 years ago

BBCSwahili

Novak Djokovic ajitoa michuano ya Madrid

Nyota wa mchezo wa tenesi Novak Djokovic amejiondoa kushiriki michuano ya wazi ya madrid .

 

9 years ago

Mtanzania

Novak Djokovic atwaa taji la Paris Masters

djokovicPARIS, UFARANSA

NYOTA wa mchezo wa tenisi nchini Serbia, Novak Djokovic, amefanikiwa kutwaa taji la michuano ya Paris Masters baada ya kumshinda mpinzani wake, Andy Murray, katika fainali iliyochezwa juzi jijini Paris, nchini Ufaransa.

Nyota huyo namba moja kwa ubora wa mchezo huo duniani, alimshinda mpinzani wake kwa seti 6-2, 6-4 na kufanikiwa kutwaa taji hilo na kumfanya azidi kuweka rekodi mbalimbali.

Djokovic amekuwa mchezaji wa kwanza kuweza kushinda mara sita kwa mwaka michuano ya ATP...

 

10 years ago

BBCSwahili

Doha kuandaa mashindano ya riadha 2019

Mji mkuu wa Qatar Doha, utakuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya riadha mwaka 2019 baada ya kuzipiku Barcelona na mji wa Eugene nchini Marekani zilizotaka kuandaa mashindano hayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya kuandaa Mashindano ya riadha 2017?

Kenya huenda ikatangazwa rasmi kuwa mwenyeji wa mashidano ya dunia ya riadha kwa vijana mwaka 2017.

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA CHA TENNIS TANZANIA (TTA) KUANDAA TENA MASHINDANO YA AFRIKA MASHARIKI

CHAMA CHA TENNIS TANZANIA (TTA) KUANDAA TENA MASHINDANO YA AFRIKA MASHARIKI (EAST AFRICAN JUNIOR ZONAL CHAMPIONSHIPS) KWA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 16, JANUARI 11-19 2015.
Chama cha Tennis Tanzania (TTA) kimepewa nafasi nyingine tena ya kuandaa mashindano ya vijana wa ukanda wa Afrika Mashariki  (East Africa zonal championships) na yatafanyika kuanzia tarehe 11 hadi 19 Januari 2015. Nchi shiriki kwa mwaka 2015 ni Burundi, Comoros, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Seychelles, Sudan na...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA HAKI FURSA YAMUOMBA SPIKA WA BUNGE KUANDAA TUZO MAALUM KWA AJILI YA KUTAMBUA MCHANGO WA RAIS DK.MAGUFULI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA


Ofisa Mipango wa Taasisi ya Haki Fursa Kwagilwa Reuben (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi habari leo Mei 27 , 2020 jijini Dar es Salaam kuhusu umuhimu wa Rais Dk.John Magufuli kupewa tuzo maalumu ya kutambua na kuthamini mchango wake katika kupambana na janga la Corona nchini.Kushoto ni Katibu Mtendaji wa taasisi hiyo Ntimi Charles na kulia ni Ofisa Ustawi wa Jamii wa taasisi hiyo Lwitiko Mwakikuti.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Haki Fursa Ntimi Charles (katikati) akisikiliza kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani