Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Novak Djokovic amshinda Roger Federer katika mashindano ya ATP

2EB5499A00000578-0-image-a-7_1448233966202

Mchezaji tenisi namba moja Duniani kutoka Serbia, Novak Djokovic amemaliza msimu wake vizuri kwa ushindi dhidi ya Roger Federer.

2EB463EA00000578-3329545-image-a-47_1448222732205

Ameweka rekodi ya taji la nne mfululizo la mashindano ya ATP.

Djokovic alifanikiwa kushinda kwa seti 6-3, 6-4 katika dakika 80 za mchezo huko London, na aliweza kusahihisha makosa yake baada ya mechi ya mwanzo ya makundi kufungwa na Roger Federer.

Mpaka sasa Djokovic anamaliza mwaka huu kwa kushinda mataji 11 yakiwemo ya matatu ya Gland slam, na kwa upande wake...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Novak Djokovic ambwaga Roger Federer.

Mchezaji Tenisi namba moja Duniani kutoka Serbia, Novak Djokovic amemaliza msimu wake kwa ushindi dhidi ya Roger Federer.

 

5 years ago

BBCSwahili

Corona: Novak Djokovic niwakulaumiwa kwa kuandaa mashindano ?

Mcheza tenisi namba moja nchini Engalnd Dan Evans anasema Novak Djokovic anapaswa kulaumiwa baada ya wenzake kupata maambuziki ya Covid19.

 

10 years ago

BBCSwahili

Roger Federer aanza vyema katika Tennesi

Bingwa wa dunia katika mchezo wa Tennesi Roger Federer ameanza vyema safari yake mwishoni mwa msimu mjini London.

 

10 years ago

BBCSwahili

Roger Federer akosoa ulinzi Uwanjani

Mcheza tenis Roger Federer amekosoa ulinzi uliopo katika mashindano ya French Open baada ya mtazamaji mmoja kumkimbilia uwanjani

 

10 years ago

BBCSwahili

Rafael Nadal,Roger Federer washinda

Mcheza tenesi nyota Rafael Nadal ameingia raundi ya nne ya michuano ya wazi ya BNP Paribas.

 

9 years ago

BBCSwahili

Roger Federer kucheza na Martina Hingis Rio

Roger Federer atashirikiana na bingwa wa zamani wa Wimbledon Martina Hingis kutoka katika mashindano ya jinsia mchanganyiko mjini Rio.

 

10 years ago

BBCSwahili

Novak Djokovic ajitoa michuano ya Madrid

Nyota wa mchezo wa tenesi Novak Djokovic amejiondoa kushiriki michuano ya wazi ya madrid .

 

10 years ago

BBCSwahili

Serena,Novak Djokovic kidedea Melbourne.

Serena Williams na Novak Djokovic waingia raundi ya Tatu ya michuano ya Melbourne

 

9 years ago

Mtanzania

Novak Djokovic atwaa taji la Paris Masters

djokovicPARIS, UFARANSA

NYOTA wa mchezo wa tenisi nchini Serbia, Novak Djokovic, amefanikiwa kutwaa taji la michuano ya Paris Masters baada ya kumshinda mpinzani wake, Andy Murray, katika fainali iliyochezwa juzi jijini Paris, nchini Ufaransa.

Nyota huyo namba moja kwa ubora wa mchezo huo duniani, alimshinda mpinzani wake kwa seti 6-2, 6-4 na kufanikiwa kutwaa taji hilo na kumfanya azidi kuweka rekodi mbalimbali.

Djokovic amekuwa mchezaji wa kwanza kuweza kushinda mara sita kwa mwaka michuano ya ATP...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani