Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cameron kutoa msimamo kuhusu wahamiaji

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron anatarajiwa kutangaza mipango baadae ya kuongeza idadi ya Wakimbizi kuingia nchini humo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Cameron atakiwa asiwadhalilishe wahamiaji

Waziri mkuu wa Uingereza ameibua utata, kwa kuwaita wahamiaji haramu wanaojaribu kuvuka mpaka na kuingia Uingereza kama ''bumba la nyuki''.

 

10 years ago

BBCSwahili

Msimamo kuhusu Iran watofautiana

Wajumbe wa mazungumzo ya mpango nyuklia wa Iran wanaokutana nchini Switzerland kutafuta suluhu ya pamoja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

BAVICHA kuanika msimamo kuhusu katiba

MWENYEKITI wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, amepanga kuweka msimamo wa baraza hilo kuhusu katiba kesho. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Heche alisema...

 

9 years ago

BBCSwahili

EU kutoa mabilioni kwa Afrika kupunguza wahamiaji

Viongozi wa Muungano wa Ulaya wanatarajiwa kutoa mabilioni ya euro kwa mataifa ya Afrika kuyawezesha kusaidia kupunguza mzozo wa wahamiaji Ulaya.

 

11 years ago

Mwananchi

Bulaya: Sitabadili msimamo kuhusu kura ya siri

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Esther Bulaya amesema hatabadili msimamo wake wa kutaka kura ya siri katika kufanya uamuzi wa kupitisha vifungu vya Rasimu ya Katiba

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaume wana msimamo gani kuhusu uzazi?

Wanaume nchini Tanzania wana uelewa kuhusu uzazi wa mpango?

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba: Msimamo wangu kuhusu Katiba palepale

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema msimamo wake kuhusu kuheshimiwa kwa maoni ya wananchi katika mchakato wa kupata Katiba Mpya upo palepale, kwamba ni lazima Taifa lisikilize wananchi wanataka nini ili kufikia mwafaka.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGHEMBE ATOA MSIMAMO WA TANZANIA KUHUSU MTO NILE

Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akiwa na mgeni wake, Balozi, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Kuratibu Programu Ya Maji, Joseph Kakunda. Waziri wa Maji akiagana na mgeni wake, Balozi, Dk. Yassir Mohammed Ali.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe jana alikutana na Balozi wa Sudan Nchini, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo mafupi, hususani matumizi ya maji ya Mto Nile.
Waziri Maghembe alisema Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani