Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CATHY AELEZA SABABU ZA KUPENDA KUZIDIWA UMRI NA MUMEWE

Makala: Gabriel Ng’osha TUNAMALIZIA makala haya ya Sabrina Rupia ‘Cathy’ tuliyoyaanza wiki tatu zilizopita, mwigizaji huyu alifunguka mambo mengi kuhusiana na maisha yake, bila shaka kupitia mfululizo wa makala haya, msomaji utakuwa umejifunza vitu vingi kutokana na hatua ambazo amepitia maishani na leo hapa anafunguka kuhusu  anavyofurahia maisha ya ndoa kwa kuolewa na mume ambaye amemzidi umri
SHUKA...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Akili na Kutoa Sababu ya Kupenda Kutoka na Wanaume Waliomzidi Umri

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amekili kupenda kuwa na mahusiano na ya kimapenzi na wanaume waliomzidi sana umri.

Akizungumza kwenye The Sporah Show, Lulu amezitaja sababu za kupendelea kutoka na wanaume waliomzidi umri.

SPORAH: Watu wanahisi kwamba Lulu anapenda sana kutembea na watu waliomzidi umri sana,

LULU: That’s true, sio uongo, sio sana, Napenda kudate mtu ambaye anayeweza kusimama kama mpenzi, kama kaka, kama baba, kama kiongozi. Sitakuwa tayari kuwa na ile...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Akili na Kutoa Sababu ya Kupenda Watoka na Wanaume Waliomzidi Umri

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amekili kupenda kuwa na mahusiano na ya kimapenzi na wanaume waliomzidi sana umri.

Akizungumza kwenye The Sporah Show, Lulu amezitaja sababu za kupendelea kutoka na wanaume waliomzidi umri.

SPORAH: Watu wanahisi kwamba Lulu anapenda sana kutembea na watu waliomzidi umri sana,

LULU: That’s true, sio uongo, sio sana, Napenda kudate mtu ambaye anayeweza kusimama kama mpenzi, kama kaka, kama baba, kama kiongozi. Sitakuwa tayari kuwa na ile...

 

11 years ago

GPL

CATHY AELEZA ALIVYOKOSA MAPENZI YA MAMA

Makala: Gabriel Ng’osha
WIKI iliyopita tulianza makala haya ambapo tuliona jinsi mwigizaji Sabrina Rupia ‘Cathy’ alivyoanza kujitegemea akiwa na umri mdogo, leo tunaendelea kuona vitu vingine alivyopitia maishani mwake:
Mwandishi: Kwa nini uliamua kujitegemea ukiwa mdogo? Mwigizaji wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ akipozi. 01Cathy: Ni kweli sikustahili kujitegemea maana nilikuwa mdogo...

 

10 years ago

GPL

BATULI AELEZA SABABU ZA KUTOOLEWA

Brighton Masalu STAA wa filamu Bongo, Yobnes Yusuph ‘Batuli’, ameeleza sababu zinazochangia yeye kutoolewa kuwa ni umaarufu wake.Akizungumza na mwandishi wetu pande za Mlimani City jijini, alisema kuwa wanaume wamekuwa wakiwahofia kwa sababu wao ni mastaa kama wengi wanavyoamini ukimuoa staa umeumia.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1DGFqLZ ...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Nchimbi aeleza sababu za kuwajibika

>Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi amesema yeye pamoja na mawaziri wenzake watatu walikubali kuwajibika kutokana na makosa yaliyofanywa na askari waliokuwa wakitekeleza Operesheni Tokomeza Ujangili.

 

10 years ago

GPL

BOZI AELEZA SABABU ZA KUTODUMU PENZINI

Stori: Mayasa Mariwata
MUUZA sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye alikiri kubanjuka na mastaa wasiopungua 15, amesema sababu zinazomsababisha asidumu na mwanaume mmoja kwenye mapenzi ni kutokana na mateso aliyoyapata kwenye ndoa ya utotoni. Muuza sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Akibonga mawili matatu na paparazi wetu,  Bozi alisema tatizo la kutokuwa na...

 

10 years ago

GPL

BATULI AELEZA SABABU ZA UKIMYA WAKE

Na Hamida Hassan BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, diva wa filamu Bongo, Yobnesh  Yusuph  ‘Batuli’ amefunguka kuwa kimya chake hicho kina mshindo kwani kuna kitu kilimuweka bize hivyo watu wakae mkao wa kula atawasapraizi. Diva wa filamu Bongo, Yobnesh  Yusuph  ‘Batuli’. Batuli alisema hayo baada ya mashabiki kuuliza amepotelea wapi ambapo alisema kuwa aliamua kukaa kimya kidogo ili...

 

9 years ago

Mtanzania

G Nako aeleza sababu za ‘Weusi’ kutokufa

3865247de9LNA SHARIFA MMASI

RAPA mahiri kutoka kundi la Weusi lenye maskani yake mkoani Arusha, George Mdemu ‘G Nako’, amesema
upendo, umoja, kutodharau na kufanyia kazi ushauri wa mashabiki wao ndiyo misingi inayoliwezesha kundi hilo lisivunjike kama makundi mengine yaliyowahi kuwika kwa muda mfupi kabla ya kusambaratika.

“Sababu hizo tuliziweka kwa pamoja wakati tulipoanzisha kundi letu hilo ambalo kwa sasa ni kampuni.
“Makundi mengi yanasahau kwamba nidhamu ni kitu muhimu katika kila kazi, wengi wao...

 

10 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AELEZA SABABU YA KUMFICHA MWANAYE

Chande Abdallah Msanii wa filamu ambaye amejipatia hadhi ya kuitwa mama baada ya kujifungua mtoto wa kike aliyempa jina la Cookie la Princessa, Aunt Ezekiel, amefunguka sababu ya kumficha sura mwanaye ambaye tangu amezaliwa sura yake hajaiweka wazi. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1GnDv9E

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani