Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CATHY: KUSHINDANIA MAGARI NI USHAMBA

NA IMELDA MTEMA MKONGWE katika sanaa, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewapa makavu wasanii wenzake ambao kila kukicha wanasifika kwa kushindana kununua magari mapya. Mkongwe katika sanaa ya maigizo, Subrina Rupia ‘Cathy’. Akizungumzia malengo yake mbele ya kinasa sauti cha Amani, Cathy alisema yeye siku zote anaamini zaidi katika kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba na si magari kama wasanii wengi wanavyoendekeza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

USHAMBA NI USHAMBA TU!

Haya ngoja niseme najua wataanza kunifuata na mawe wanikong’ote lakini nasema  na kuanzia kesho navaa helmet hata kwenye daladala, mawe yao hayawezi kunidhuru. Kuna ishu inanichekeshaga sana, utaona mtu anaiga mambo anayafanya kusudi aonekane naye kaendelea kama wazungu, kumbe kwa wenye akili kama mimi tunajua ushamba unawasumbua.
Sasa ushamba ni nini? Ushamba mambo mengi, kushangaa jambo ambalo wenzio wanaliona la...

 

11 years ago

GPL

CHID NI USHAMBA AU JELA INAKUITA?

Rashid Makwilo ‘Chid Benz’. KWAKO,
Rashid Makwilo ‘Chid Benz’. Naamini utakuwa mzima wa afya njema, kama ndivyo unajisikiaje ukiwa mzima wakati kuna wenzako wanalia na afya zao si nzuri kwa sababu yako?
Lengo la kukuandikia barua hii ni kukuweka sawa ingawa nakumbuka mara kadhaa, waandishi mbalimbali wenye nia njema na wewe waliwahi kuandika makala za kukuweka sawa. Matukio yako ya kupiga watu kila...

 

10 years ago

Vijimambo

Kumuimba Msichana Uliyeachana Naye ni Ushamba



Staa Mrembo Kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’, amesema ni ushamba kwa wasanii wa muziki kuwatungia nyimbo za majungu wasichana wanaoachana nao kimapenzi.Wema amesema wasanii wengi wa muziki wamekuwa na tabia ya kishamba ya kutunga nyimbo zenye maneno ya kuudhi, wakiwalenga waliokuwa wapenzi wao.“Ni ushamba wa mapenzi, haiwezekani mlikuwa mnafurahia wote mapenzi yenu, lakini mkiachana anakutungia nyimbo za kukuponda, hakuna neno la kuzungumzia hilo zaidi ya kuita ushamba kwa wasanii wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wafungwa wa Malawi kushindania tuzo kuu duniani

Bendi moja ya wafungwa kutoka Malawi imefanikiwa kuteuliwa kushindania tuzo kuu za muziki duniani za Grammy.

 

10 years ago

Mtanzania

Wema: Kumuimba msichana uliyeachana naye ni ushamba

wemaNA RHOBI CHACHA
STAA wa filamu za kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amesema ni ushamba kwa wasanii wa muziki kuwatungia nyimbo za majungu wasichana wanaoachana nao kimapenzi.
Wema amesema wasanii wengi wa muziki wamekuwa na tabia ya kishamba ya kutunga nyimbo zenye maneno ya kuudhi, wakiwalenga waliokuwa wapenzi wao.
“Ni ushamba wa mapenzi, haiwezekani mlikuwa mnafurahia wote mapenzi yenu, lakini mkiachana anakutungia nyimbo za kukuponda, hakuna neno la kuzungumzia hilo zaidi ya...

 

10 years ago

GPL

JOHARI, CHUCHU HUU KAMA SIYO USHAMBA NI NINI?

NINAMFAHAMU Blandina Changula maarufu kama Johari, tokea akiwa underground wa maigizo katika kikundi cha Kaole, kabla hajapata jina linalomfanya kuwa mmoja wa wakongwe katika filamu Tanzania. Wakati ule akichipukia, alikuwa mmoja kati ya chipukizi waliokuwa wanaonyesha wazi kwamba watakuja kuwa waigizaji wazuri. Anapatia sehemu nyingi katika sanaa, lakini utampenda zaidi Johari akiigiza sehemu inayohitaji majonzi, au mtu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Yaya Toure kushindania tuzo kuu ya soka duniani

Wachezaji watatu wa Man City Sergio Aguero, Kevin De Bruyne na Yaya Toure ni miongoni wa wachezaji 23 watakaoshindania tuzo ya Ballon d'Or.

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wa Bayport watakaokopa kwa njia ya mtandao online kushindania Milioni 1

WATEJA wa taasisi ya Kifedha ya Bayport inayojihusisha na mambo ya mikopo wanaweza kujishindia jumla ya Sh Milioni moja, endapo wataamua kukopa kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz, uliozinduliwa rasmi jana, jijini Dar es Salaam.Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, pichani, akisisitiza jambo katika moja ya matukio ya kikazi ya taasisi hiyo nchini Tanzania.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport, Ngula...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani