CHID NI USHAMBA AU JELA INAKUITA?
![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkwkXsQHv9DLHtsgxfp0UVwkKR6SeFNP4ZocYYilBCfg86zJiJaJ2*GMYWAezkcfnZ59y2r79UgMjpx8mv4kMJmn/BARUANZITO.jpg)
Rashid Makwilo ‘Chid Benz’. KWAKO, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’. Naamini utakuwa mzima wa afya njema, kama ndivyo unajisikiaje ukiwa mzima wakati kuna wenzako wanalia na afya zao si nzuri kwa sababu yako? Lengo la kukuandikia barua hii ni kukuweka sawa ingawa nakumbuka mara kadhaa, waandishi mbalimbali wenye nia njema na wewe waliwahi kuandika makala za kukuweka sawa. Matukio yako ya kupiga watu kila...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ea4x8ggFHeJc3Gnn-JUwVRLYDfRH-7wd7dwdRbLxXQEw3NnM292A2dZ20a*ME8G6GoSNC7vW5Yhr4p5zJVVbdMR6VSRphiXi/CHID.jpg)
RAY C: CHID BENZ ATAOZEA JELA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LMZbfjT5Z7OtwXfXvB3-DUQIc7AvkkfgwKd7JJkw35pBJQHFV0whW-BSGeWgmCRBfz2a2IV8yr3hONPookj5j18T10SUWJ45/MAMAWEMA.jpg?width=650)
HAIWEZEKANI JELA IWE HAIMUITI CHID BENZ!
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Chid Benz ahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela
10 years ago
Bongo507 Nov
Chid Benz na Fid Q kufanya album ya pamoja, Chid aizungumzia project hiyo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUndHX1bVzbxcV6zqGh-lMkE20yQqcy90qQTfMUBWNtGTzQEn6hwpivUVzZyxAWYulkYYCG9lDSsEOpCEiCx6ohc/CHEKANAKITIME.jpg)
USHAMBA NI USHAMBA TU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL2v*4rrUUx7LkijJK1hyKvdHeG-Vocp3Jqi7L9V0g6Hk7-FvSBlz07TCOx4l*ynuL8BA2E3yehoeNzEKsWsKJu5/cathy.jpg?width=650)
CATHY: KUSHINDANIA MAGARI NI USHAMBA
10 years ago
Vijimambo17 Apr
Kumuimba Msichana Uliyeachana Naye ni Ushamba
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/WEMA_SEPETU0912.jpg)
Staa Mrembo Kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’, amesema ni ushamba kwa wasanii wa muziki kuwatungia nyimbo za majungu wasichana wanaoachana nao kimapenzi.Wema amesema wasanii wengi wa muziki wamekuwa na tabia ya kishamba ya kutunga nyimbo zenye maneno ya kuudhi, wakiwalenga waliokuwa wapenzi wao.“Ni ushamba wa mapenzi, haiwezekani mlikuwa mnafurahia wote mapenzi yenu, lakini mkiachana anakutungia nyimbo za kukuponda, hakuna neno la kuzungumzia hilo zaidi ya kuita ushamba kwa wasanii wa...
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Wema: Kumuimba msichana uliyeachana naye ni ushamba
NA RHOBI CHACHA
STAA wa filamu za kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amesema ni ushamba kwa wasanii wa muziki kuwatungia nyimbo za majungu wasichana wanaoachana nao kimapenzi.
Wema amesema wasanii wengi wa muziki wamekuwa na tabia ya kishamba ya kutunga nyimbo zenye maneno ya kuudhi, wakiwalenga waliokuwa wapenzi wao.
“Ni ushamba wa mapenzi, haiwezekani mlikuwa mnafurahia wote mapenzi yenu, lakini mkiachana anakutungia nyimbo za kukuponda, hakuna neno la kuzungumzia hilo zaidi ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-3i3rVffQH3yt-bwxjSjM*1MQyjWrRhOZa6C3jW1UVtFmUa9SV6WGnjwxFWZyWF1ETRjwmZAAjpw2k*reDMTA97bybvahBU5/MAMAWEMA.jpg?width=650)
JOHARI, CHUCHU HUU KAMA SIYO USHAMBA NI NINI?