USHAMBA NI USHAMBA TU!
![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUndHX1bVzbxcV6zqGh-lMkE20yQqcy90qQTfMUBWNtGTzQEn6hwpivUVzZyxAWYulkYYCG9lDSsEOpCEiCx6ohc/CHEKANAKITIME.jpg)
Haya ngoja niseme najua wataanza kunifuata na mawe wanikong’ote lakini nasema na kuanzia kesho navaa helmet hata kwenye daladala, mawe yao hayawezi kunidhuru. Kuna ishu inanichekeshaga sana, utaona mtu anaiga mambo anayafanya kusudi aonekane naye kaendelea kama wazungu, kumbe kwa wenye akili kama mimi tunajua ushamba unawasumbua. Sasa ushamba ni nini? Ushamba mambo mengi, kushangaa jambo ambalo wenzio wanaliona la...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL2v*4rrUUx7LkijJK1hyKvdHeG-Vocp3Jqi7L9V0g6Hk7-FvSBlz07TCOx4l*ynuL8BA2E3yehoeNzEKsWsKJu5/cathy.jpg?width=650)
CATHY: KUSHINDANIA MAGARI NI USHAMBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkwkXsQHv9DLHtsgxfp0UVwkKR6SeFNP4ZocYYilBCfg86zJiJaJ2*GMYWAezkcfnZ59y2r79UgMjpx8mv4kMJmn/BARUANZITO.jpg)
CHID NI USHAMBA AU JELA INAKUITA?
10 years ago
Vijimambo17 Apr
Kumuimba Msichana Uliyeachana Naye ni Ushamba
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/WEMA_SEPETU0912.jpg)
Staa Mrembo Kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’, amesema ni ushamba kwa wasanii wa muziki kuwatungia nyimbo za majungu wasichana wanaoachana nao kimapenzi.Wema amesema wasanii wengi wa muziki wamekuwa na tabia ya kishamba ya kutunga nyimbo zenye maneno ya kuudhi, wakiwalenga waliokuwa wapenzi wao.“Ni ushamba wa mapenzi, haiwezekani mlikuwa mnafurahia wote mapenzi yenu, lakini mkiachana anakutungia nyimbo za kukuponda, hakuna neno la kuzungumzia hilo zaidi ya kuita ushamba kwa wasanii wa...
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Wema: Kumuimba msichana uliyeachana naye ni ushamba
NA RHOBI CHACHA
STAA wa filamu za kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amesema ni ushamba kwa wasanii wa muziki kuwatungia nyimbo za majungu wasichana wanaoachana nao kimapenzi.
Wema amesema wasanii wengi wa muziki wamekuwa na tabia ya kishamba ya kutunga nyimbo zenye maneno ya kuudhi, wakiwalenga waliokuwa wapenzi wao.
“Ni ushamba wa mapenzi, haiwezekani mlikuwa mnafurahia wote mapenzi yenu, lakini mkiachana anakutungia nyimbo za kukuponda, hakuna neno la kuzungumzia hilo zaidi ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-3i3rVffQH3yt-bwxjSjM*1MQyjWrRhOZa6C3jW1UVtFmUa9SV6WGnjwxFWZyWF1ETRjwmZAAjpw2k*reDMTA97bybvahBU5/MAMAWEMA.jpg?width=650)
JOHARI, CHUCHU HUU KAMA SIYO USHAMBA NI NINI?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOTXQj7*AtWKrXqYXTywBlksVnYPz-IgqiCu1K1iR64I5n9*QEqxz4k1gJUNIQDeRF3a5Lfzly3S*b8EOZSYMeZH/mahaba.jpg?width=650)
UNAKUBALI MKEO AVAE NGUO ZA KUBANA, KITOVU NJE! USHAMBA ULIOJE?