CBA yatanua kwenye M-PAWA
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara ya Afrika (CBA), Julius Mcharo akizungumza wakati kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, ambapo alitumia fursa hiyo kuwashukuru wateja wao kwa kuichagua CBA pamoja na kuwapongeza wafanyakazi wa benki yake kwa kutoa huduma nzuri kwa wateja wao katika mkutano na wanahabari uliofanyika kwenye tawi la CBA Kariakoo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja anayeshughulikia wateja wa CBA Tanzania, Rehema Ngusaru na Afisa viwango na ubora wa huduma CBA...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo27 Oct
MO DEWJI FOUNDATION YATANUA MBAWA, YASAIDIA UBORESHAJI WA KITUO CHA FURAHINI MKOANI KILIMANJARO
![User comments](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/10/20151002_113258.jpg)
Baadhi ya vijana hao wakiwa darasani wakifurahia masomo wanayopatiwa ya kujiandaa na elimu ya sekondari katika kituo hicho cha Furahini mkoani Kilimanjaro.
![User comments](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/10/20150624_120510.jpg)
Baadhi ya vijana hao wakiwa darasani wakiendelea na masomo katika jengo la kituo hicho cha Furahini ambacho kinatarajiwa kukabaratiwa na kwa msaada wa Mo Dewji Foundation.
Na Mwandishi wetuTAASISI ya misaada ya Mo Dewji Foundation imekubali kufadhili mradi wa kituo cha mafunzo cha vijana cha Furahini (FYLC) wenye lengo la kuboresha...
9 years ago
Dewji Blog27 Oct
Mo Dewji Foundation yatanua mbawa, yasaidia uboreshaji wa kituo cha Furahini Mkoani K’njaro
Baadhi ya vijana hao wakiwa darasani wakifurahia masomo wanayopatiwa ya kujiandaa na elimu ya sekondari katika kituo hicho cha Furahini mkoani Kilimanjaro.
Na Mwandishi wetu
TAASISI ya misaada ya Mo Dewji Foundation imekubali kufadhili mradi wa kituo cha mafunzo cha vijana cha Furahini (FYLC) wenye lengo la kuboresha upatikanaji wa elimu katika kijiji cha Kisangara mkoani Kilimanjaro.
Imeelezwa kuwa taasisi hiyo ya bilionea Mo Dewji imetoa shilingi milioni 7 kusaidia ujenzi wa miundombinu...
10 years ago
TheCitizen01 Dec
M-Pawa clocks 1m customers
11 years ago
TheCitizen15 May
JK launches Vodacom’s M-Pawa
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eqffEb5qw8c/Vb-NkAJ3zRI/AAAAAAAHtqM/dqDpWbqVfYA/s72-c/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
M-PAWA KUWAFIKIA WANANCHI POPOTE WALIPO MTAANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-eqffEb5qw8c/Vb-NkAJ3zRI/AAAAAAAHtqM/dqDpWbqVfYA/s640/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/l5U69tqPk5Wo*fcYX4qpY0xMy1x-tmhXfskyhlFyaX4Ufm-umcaXtt54969kj9HGpO-8AM2-z0ivEy2mp2Cl1xj2WF73Uu4s/001.MPAWA.jpg?width=650)
M-PAWA KUWAFIKIA WANANCHI POPOTE WALIPO MTAANI
11 years ago
Mwananchi15 May
JK azindua M-pawa, ni kuweka akiba na kukopa kupitia simu
10 years ago
MichuziZAIDI YA WAKUFUNZI (30) MKOANI MBEYA WASHIRIKI KATIKA SEMINA YA M-PAWA
5 years ago
Press13 Feb
M-PAWA INAZIDI KUWATAJIRISHA WATANZANIA MSHINDI WA PILI WA MILIONI 20 APATIKANA
Vodacom Tanzania wakishirikiana na Benki ya CBA, ilizindua promosheni kubwa inayojulikana kama “Jiongeze na M-Pawa” ambayo inawawezesha watumiaji wa huduma ya M-Pawa kujishindia zawadi ya fedha taslimu. Jumla ya shilingi milioni 300 zimetengwa kwa ajili ya promosheni hiyo na mshindi mmoja wa droo kubwa atajishindia kitita cha shilingi milioni 100. Washindi wa wiki watazawadiwa shilingi milioni 20 na washindi wa siku watazawadiwa shilingi milioni moja. Promosheni hiyo ambayo ilianza mwanzoni...