Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM ni shetani mzee au kijana?

TUNA vyama 23 venye usajili wa kudumu. Vyama vya upinzani ni 22. Mbona Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinahangaika na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)? Fuatilia mfano huu upate jibu....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AONGOZA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA MUASISI WA CCM MZEE MAKAME MZEE SULEWIMAN,UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Waislamu na Viongozi katika Kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Marehemu Mzee Makame Mzee Suleiman katika Msikiti wa Ijumaa Mgenihaji Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Marehemu alifariki jana Nyumbani kwake Amani Mjini Unguja . Wananchi na Waislamu wakilibeba Jeneeza la Marehemu Mzee Makame Mzee Suleiman aliyekuwa Mwenyekitiwa Wazee wa CCM na kuzikwa lao kijijini...

 

9 years ago

GPL

MZEE KINGUNGE AACHANA NA CCM

Mzee Kingunge Ngombale Mwiru. Mwanasiasa mkongwe nchini ambaye ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngombale Mwiru hivi punde wakati akiongea na wanahabari jijini Dar ametangaza kuachana na chama hicho maana kimeshindwa kuheshimu katiba yake, asema hajiungi na chama chochote ila yupo upande wa mabadiliko.

 

10 years ago

Mtanzania

Mzee Moyo afukuzwa CCM

hassan-nassor-moyoNA SARAH MOSSI, ZANZIBAR

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemfukuza uanachama mmoja wa waasisi wa chama hicho Visiwani, Mzee Hassan Nassor Moyo.

Hatua hiyo ilitangazwa jana na Katibu wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja, Aziza Iddi Mapuri katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari mjini hapa.

Mapuri alisema Mzee Moyo anadaiwa kukisaliti chama hicho kwa kukiuka maadili na kutoa matamshi yasiyokubaliana na sera za chama chao.

Alisema Mzee Moyo alitumia majukwaa ya siasa katika mikutano...

 

10 years ago

Mtanzania

Mzee Moyo: Sijutii kufukuzwa CCM

hassan-nassor-moyoNa Is-haka Omar, Zanzibar
WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani mstaafu, Mzee Nassor Moyo, amesema hajutii kufukuzwa uanachama ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hatarajii kukata rufaa.
Akizungumza na MTANZANIA mjini hapa jana, Moyo alisema ataendelea kuwa muumini wa Serikali tatu na kudai mamlaka kamili ya Zanzibar hadi mwisho wa maisha yake.
Alisema anaamini kile anachosimamia ndani ya moyo wake, hivyo hakuna chama wala taasisi yoyote yenye uwezo wa kubadilisha kile anachokiamini kusimamia...

 

11 years ago

Mwananchi

Mzee Moyo awataka CCM wajipime

Mwanasiasa mkongwe na kada wa CCM, Mzee Hassan Nassor Moyo amesema wajumbe wa CCM ndani ya Bunge la Katiba wanatakiwa kujiuliza sababu zilizolifanya kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutoka nje ya Bunge na ndipo watafute suluhu.

 

9 years ago

Habarileo

Mzee Kingunge ang’oka CCM

MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru, ametangaza kujiondoa kwenye chama tawala, CCM, ambacho amekuwa mmoja wa waumini wake wakubwa tangu enzi za TANU, kabla kuungana na ASP na kuzaliwa CCM mwaka 1977.

 

10 years ago

Vijimambo

MAZIKO YA MUASISI WA CCM MZEE MAKAME SULEIMAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Waislamu na Viongozi katika Kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Marehemu Mzee Makame Mzee Suleiman katika Msikiti wa Ijumaa Mgenihaji Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Marehemu alifariki jana Nyumbani kwake Amani Mjini Unguja.Wananchi na Waislamu wakilibeba Jeneeza la Marehemu Mzee Makame Mzee Suleiman aliyekuwa Mwenyekitiwa Wazee wa CCM na kuzikwa lao kijijini kwako...

 

10 years ago

Habarileo

Mzee mkoani Dodoma aipa somo la uadilifu CCM

MMOJA wa wazee wa mkoa wa Dodoma Athumani Makole (66) amesema kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuaminiwa na kuendelea kuongoza nchi ni lazima kwenye Uchaguzi Mkuu ujao wachaguliwe viongozi waadilifu watakaofanya kazi kwa uaminifu ili kurudisha imani yao kwa wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani