Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM UBUNGO WAMPONGEZA DC MAKORI KWA UTENDAJI

KAMATI ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ubungo, chini ya mwenyekiti wake Lucas Mgonja, imempongeza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Makori kwa utendaji wake ikiwamo vita dhidi ya ugonjwa wa corona wilayani humo.

Taarifa ilitolewa leo na Katibu wa Siasa ya Uenezi, Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Mbaruku Masudi, imeeleza kuwa katika kikao hicho pamoja na mambo kilipokea taarifa ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori  ikiwamo hali ya ugonjwa wa corona, ujenzi wa vyumba vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

UWT Dar  wampongeza Utendaji Wa Rais Magufuli kwa mwanzo mzuri

 

Umoja wa Wanawake  wa Chama cha Mapinduzi, U.W.T Mkoa wa Dar es salaam wamempongeza Rais Magufuli kwa uwajibikaji wake na utendaji kazi kwa kupiga vita mafisadi na wakwepa kodi.

Rais Magufuli amefananishwa na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa ufuatiliaji na kasi yake aliyoianza ya kuwa karibu na wananchi katika kuhakikisha anakomesha kero zao na kuwawajibisha viongozi wazembe.

Janeth Masaburi ni Mwenyekiti wa U.W.T. mkoa wa Dar es salaam amewataka watanzania bila...

 

10 years ago

Michuzi

CCM MOSHI VIJIJINI WAMPONGEZA MWENYEKITI MPYA WA MJI MDOGO WA HIMO HUSSEIN JAMAL.

Baaadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika sherehe ya pongezi kwa mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo.Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini Miriam Kaaya akizungumza wakatio wa sherehe za kumpongeza mwenyekiti wa mji mdpgo wa Himo ,Hussein Jamal.Mwenyekiti mpya wa mji mdogo wa Himo ,Hussein Jamal akizungumza na wananchi waliofika katika sherehe za pongezi zilizofanyika katika ukumbi wa King size uliopo mji mdogo wa Himo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AITEKA HANDENI WENGI WAMPONGEZA KWA KUTOA NAFASI KWA WANANCHI KUULIZA MASWALI



Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kata ya Kwaluguru wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara katika shule ya sekondari Kwaluguru wilayani Handeni.Wananchi wa kata ya Kwaluguru wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahma Kinana  wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi katika shule ya sekondari Kwaluguru ambapo vyumba 83 vya maabara vinajengwa wilayani Handeni.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Daily News

CCM set to recover Kawe, Ubungo constituencies


CCM set to recover Kawe, Ubungo constituencies
Daily News
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) can only recover Ubungo and Kawe constituencies in Dar es Salaam Region currently under the opposition Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), if it fields strong candidates, a senior official of the ruling party ...

 

9 years ago

Habarileo

Wenye bodaboda 500 Ubungo wajiunga CCM

WAENDESHA bodaboda zaidi ya 500 katika Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, wameahidi kuwa wanachama watiifu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kupewa elimu kuhusu nini kilisababisha wao kuzuiwa kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

CCM Ubungo wamdhamini JPM kurudi Ikulu

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo, Lucas Mgonja ameongoza wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, kujaza fomu za kumdhamini mgombea urais wa CCM, Rais Dk. John Magufuli.Rais Magufuli amechukua fomu ya kuwania tena urais kwa kipindi cha pili jana jijini Dodoma na ameanza kusaka wadhamini 250 mikoani kama utaratibu wa CCM unavyoelekeza.
Taarifa ilitolewa leo na Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Ubungo, Mbaruku Masudi, ilieleza kuwa wajumbe hao wa Halmashauri Kuu ya...

 

10 years ago

Habarileo

Bugando wampongeza JK kwa misaada ya vifaa

HOSPITALI ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza imempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kutekeleza ahadi yake ya kuwapatia vifaa maalumu vya upasuaji wa mishipa ya fahamu, ubongo na uti wa mgongo na kwamba tayari vimeanza kazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani