Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM wamedandia sera ya mafuta — M.Seif

By Goodluck Eliona na Khelef Nassor Zanzibar: Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema hakuna mwenye uhalali wa kuzungumzia uchimbaji wa mafuta ya Zanzibar zaidi yake. Alisema […]

The post CCM wamedandia sera ya mafuta – M.Seif appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Sera ya gesi, mafuta iwekwe wazi’

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ametaka uwazi katika suala la gesi na mafuta. Balozi Sefue pia aliwataka Watanzania wajipange, wajitume kuhakikisha sekta ya gesi na mafuta itakapoanza kazi hawatakuwa...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA SHUGHULI ZA UZALISHAJI NA UTAFUTAJI GESI,MAFUTA WATOA MAONI RASIMU YA SERA YA PETROLI

 Mmoja wa wadau wa shughuli za utafutaji na uzalishaji gesi akitoa maoni yake kuhusu namna ya kuboresha rasimu ya Sera ya Petroli. Wanaofuatia ni baadhi ya wadau kutoka  Kampuni mbalimbali zinazofanya shughuli hizo nchini.

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (katikati) akifuatilia kwa karibu wadau wakitoa  maoni wakati wa warsha ya  wadau wanaoshughulika na   shughuli za utafutaji na uzalishaji gesi na mafuta ili kupata maoni yao  yatakayosaidia...

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Mimi ndiye wa kuzungumzia mafuta Z’bar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema hakuna mwenye uhalali wa kuzungumzia uchimbaji wa mafuta ya Zanzibar zaidi yake.

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AAHIDI MAFUTA, GESI NDANI YA SIKU 100 ZANZIBAR

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF,Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.

Maalim Seif alisema hayo juzi kwenye viwanja vya Tibirinzi mkoani Kusini Pemba alipokuwa akizungumza na wananchi na wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa.

Aliwaomba wananchi wa Unguja na Pemba wampe ridhaa ya kuongoza visiwa vya Zanzibar ili aweze kuwaletea maendeleo...

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif aahidi mafuta, gesi ndani ya siku 100 Zanzibar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.

 

9 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ATEMBELEA KISIMA KINACHOSADIKIWA KUWA NA MAFUTA KATIKA ENEO LA TUNDAUWA,ZANZIBAR

Na: Hassan Hamad, OMKRMgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ametembelea kisima kinachosadikiwa kuwa na mafuta katika eneo la Tundauwa, na kusema kuwa mafuta ya Zanzibar yatachimbwa  katika kipindi kifupi kijacho.
Amesema  kwa miaka mingi Zanzibar imeshindwa kuchimba mafuta yake kutokana na kutokuwepo mikakati imara, na kuahidi kuwa iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar atahakikisha kuwa suala hilo linawekewa mikakati imara ya...

 

9 years ago

Vijimambo

UDP yanadi sera za CCM


UDP yanadi sera za CCM

MWENYEKITI wa Taifa wa chama cha United Democrat Party (UDP), John Cheyo, ambaye pia ni mgombea anayetetea kiti cha ubunge katika jimbo la Itilima mkoani Simiyu kupitia chama hicho, amezindua kampeni zake kwa kunadi sera za CCM.

Akizindua kampeni hizo jana katika uwanja wa mpira wa kikapu, Cheyo alisema katika sera yake pamoja na chama chake ni kuhakikisha elimu inatolewa bure kuanzia chekechea hadi kidato cha nne.

Mbali na sera hiyo, mgombea ubunge huyo pia alisema kuwa wananchi wakimpa...

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge akiri ufanisi sera za CCM

Zabein MhitaMBUNGE wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita amefagilia mipango ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi ambayo imeleta neema kwa wananchi wake hasa ongezeko la uzalishaji katika sekta ya kilimo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mchakamchaka umeanza Arusha, wagombea Ubunge CCM wamwaga sera

unnamed (1)

Kada maarufu wa chama cha mapinduzi ambaye pia ni mfanyabiashara wa madini jijini Arusha, Justine Nyari, akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kujinadi nafasi ya Ubunge kupitia chama cha mapinduzi katika kata mpya ya Sinoni jijini Arusha(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha, Mustafa Panju akizungumza na wananchi wa kata mpya ya Sinoni kuhusu nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani