UDP yanadi sera za CCM
MWENYEKITI wa Taifa wa chama cha United Democrat Party (UDP), John Cheyo, ambaye pia ni mgombea anayetetea kiti cha ubunge katika jimbo la Itilima mkoani Simiyu kupitia chama hicho, amezindua kampeni zake kwa kunadi sera za CCM.
Akizindua kampeni hizo jana katika uwanja wa mpira wa kikapu, Cheyo alisema katika sera yake pamoja na chama chake ni kuhakikisha elimu inatolewa bure kuanzia chekechea hadi kidato cha nne.
Mbali na sera hiyo, mgombea ubunge huyo pia alisema kuwa wananchi wakimpa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 May
CCM yanadi serikali 2 misikitini
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinadaiwa kuwatumia baadhi ya masheikh kuhubiri muundo wa muungano wa serikali mbili misikitini. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, kampeni hiyo inasimamia na Katibu Mkuu wa CCM,...
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Cheyo atafuta wagombea urais kupitia UDP
9 years ago
Mzalendo Zanzibar19 Sep
CCM wamedandia sera ya mafuta — M.Seif
By Goodluck Eliona na Khelef Nassor Zanzibar: Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema hakuna mwenye uhalali wa kuzungumzia uchimbaji wa mafuta ya Zanzibar zaidi yake. Alisema […]
The post CCM wamedandia sera ya mafuta – M.Seif appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Habarileo06 Sep
Mbunge akiri ufanisi sera za CCM
MBUNGE wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita amefagilia mipango ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi ambayo imeleta neema kwa wananchi wake hasa ongezeko la uzalishaji katika sekta ya kilimo.
10 years ago
Mwananchi11 Mar
Cheyo akaribisha ‘wageni’ kuwania urasi kupitia UDP
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Mchakamchaka umeanza Arusha, wagombea Ubunge CCM wamwaga sera
Kada maarufu wa chama cha mapinduzi ambaye pia ni mfanyabiashara wa madini jijini Arusha, Justine Nyari, akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kujinadi nafasi ya Ubunge kupitia chama cha mapinduzi katika kata mpya ya Sinoni jijini Arusha(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha, Mustafa Panju akizungumza na wananchi wa kata mpya ya Sinoni kuhusu nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi...
11 years ago
Mwananchi03 Aug
MJADALA: Kasaka, Butiku: Sera ya CCM ni Serikali mbili kwenda moja
5 years ago
MichuziCCM wamnasa Kigogo aliyewahi kuwa mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi,Mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA,Mjumbe wa kamati ya Ukawa na kampeni meneja wa Mgombea wa Makam wa Rais Ukawa Bwana,Juju Martin Danda amepokelewa na Chama cha Mapinduzi CCM na kukabidhiwa kadi ya Chama hicho na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe.
Akizungumza dhamira ya kujiunga na Chama hicho,Martin Danda amesema ni kutokana na uozo uliopo katika vyama vya upinzani.
“Nilifanya harakati...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Sep
“CCM Kutumia SERA NA ILANI ZA UONGO: “Lengo Nikubadilisha Imani ya Wapiga Kura”
Asalamu Alaikhum Warahmatullah Wabarakatuhu Ndugu Wazanzibari wenzangu wa Ndani na Nje ya Visiwa Vyetu Adhimu. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Allah (SW) Kwakunipa Uzim na wasia wakuandika makala hii ambayo naamini Inaweza kuwa-amsha Wazanzibari wenzangu […]
The post “CCM Kutumia SERA NA ILANI ZA UONGO: “Lengo Nikubadilisha Imani ya Wapiga Kura” appeared first on Mzalendo.net.