Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM YAANZA MCHAKATO WA KUMTAFUTA MGOMBEA JIMBO LA HANDENI

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakichukua tukio. Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

ADC yaanza mchakato wa kupata mgombea urais

Chama cha ADC kimeanza mchakato wa kumpata mgombea wa urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25.

 

10 years ago

Mtanzania

CCM Handeni watishia kutomnadi mgombea ubunge

NA MWANDISHI WETU, TANGA

WAGOMBEA 15 waliojitokeza kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Handeni Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametishia kutomnadi mgombea aliyeshinda kura za maoni, John Saru, kwa madai kuwa ushindi wake ulitokana na uchakachuaji wa matokeo akisaidiwa na uongozi wa wilaya.

Walisema iwapo ataidhinishwa na vikao vya juu vya chama kupambana na wagombea wengine wa vyama vya upinzani, hawatampa ushirikiano badala yake watamuunga mkono mgombea wao wa nafasi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dosari yajitokeza kura za maoni ubunge jimbo la Iringa mjini, mgombea ataka mchakato usitishwe

IMG_2160

Frank Kibiki ambaye pia ni Mwanahabari wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo wa mkoani Iringa akionyesha walivyokosea jina lake.

IMG_2158

Frank Kibiki ambaye pia ni Mwanahabari wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo wa mkoani Iringa.

Na Mwandishi wetu, Iringa

WAKATI kura za maoni za kutafuta wagombea ubunge katika majimbo yote nchini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) zikipigwa leo, mmoja kati ya wagombea 13 wanaotafuta nafasi hiyo Jimbo la Iringa Mjini, Frank Kibiki anataka zoezi hilo jimboni humo...

 

9 years ago

Habarileo

CCM Dodoma yaanza mchakato kumpata Meya

KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeanzisha mchakato wa kumpata meya, naibu meya na katibu wa manispaa ya Dodoma. Kwa mujibu wa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM, Dodoma mjini, Salum Kali, uchukuaji wa fomu ili kuwania nafasi hizo umeanza juzi na utadumu hadi kesho saa kumi jioni.

 

10 years ago

GPL

KINGUNGE: MCHAKATO WA KUMPATA MGOMBEA URAIS CCM ULIKUWA BATILI

Mzee Kingunge akiongea na vyombo vya habari. LEO Mzee Kingunge kaongea na vyombo vya habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.
Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha kuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu katika kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM yaanza mchakato wa kusaka wenye sifa za kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

CCM

Muonekano wa jengo la Ofisi ndogo ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatangaza Ratiba ya Uchukuaji Fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wana-CCM wote wenye sifa husika. 

Ratiba ya mchakato huo ni kama ifuatavyo;-

Wana-CCM wasio Wabunge wanaoomba ridhaa ya CCM kugombea Uspika wanatakiwa kuchukua fomu kuanzia Novemba 11, 2015 saa Sita Kamili mchana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya...

 

11 years ago

Michuzi

MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA CHALINZE ULIVYOKABILIWA CHANGAMOTO YA BARABARA

Mwenyekiti wa Kampeni za CCM Jimbo la Chalinze,Saleh Mpwimbwi akiangalia gari linaloongoza Msafara wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze wa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete likipita kwa shinda kwenye barabara yenye tope kutoka Kijiji cha Hondogo kwenda Kilemela,wakati wa safari ya kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo,Machi 29,2014.hali hiyo imekuja kutokana na Mvua kubwa zilizonyesha kwa siku mbili mfululizo katika Maeneo mbali mbali hapa nchini.Ridhiwani Kikwete...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani