Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA: CCM imeshindwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wananchi kutokichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi wa serikali za mitaa Kimesema mikakati na sera za Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimeshindwa kutatua...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CCM imeshindwa kuyadhibiti makundi?

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) sasa kimekuwa kama familia ya kambale. Wote wana sharubu bila kujali ni baba, mama au hata mtoto. Tulishaandika sana, hii si ile CCM tuliyoifahamu. Sijawahi kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema

 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga...

 

9 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WOTE WA CCM WA KATA YA MKOMAZI NA WAPIGA KURA 1,400 WA CCM WAHAMIA CHADEMA


Viongozi wote wa CCM wa kata ya mkomazi na pamoja na wapiga kura 1,400 wa eneo hilo wilayani Korogwe wamejiunga na CHADEMA huku baadhi yao wakiamua kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kwa tiketi ya chama hicho.

Wakizungumza katika mkutano wa kampeni ulifanyika katika kijiji cha mikocheni kilichopo kata ya mkomazi wilayani Korogwe baadhi ya viongozi hao pamoja na wengine wa CCM katika kata sita waliokatwa majina yao katika zoezi la kura za maoni kwa tiketi ya CCM wamesema  wameamua kujiunga...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA DR.SLAA AHAMIA CCM,MWIGULU AMVUNA KWA MANUFAA YA CCM NA TANZANIA

Mh:Mwigulu Nchemba akiwaisli viwanja vya
Mkutano Karatu Mjini.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa karatu Mjini mapema hii leo asubuhi majira ya saa tatu wakati akisisitiza kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa Kufanyika tar.14.12.2014.Mwigulu akimtambulisha Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa katibu wa CHADEMA Wilaya ya karatu ndugu.Raulenti Bonta.Kadi na baadhi za Vifaa vya CHADEMA ambavyo vimerudishwa hii leo kwa mwigulu Nchemba...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali imeshindwa kupambana na Mnyauko’

MBUNGE wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage (CCM) ameitaka Serikali kueleza sababu zinazochangia kushindwa kutokomeza ugonjwa wa Mnyauko unaoshambulia migomba Mkoani Kagera. Akiuliza swali la nyongeza Mbunge huyo alisema ugonjwa huo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je, IAAF imeshindwa mujukumu yake?

Shirikisho la riadha IAAF linakumbwa na madai ya kushindwa kukabiliana na visa vingi vya matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali imeshindwa kuzuia mauaji Kiteto?

MAUAJI ya mara kwa mara yanayoendelea wilayani ya Kiteto bila ya jitihada za makusudi kuyakomesha yanaashiria kushindwa kuwajibika kwa baadhi ya viongozi na taasisi wanazoziongoza Tunaelezwa kuanzia Februari hadi sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani